検索ワード: kushirikiana kwa pamoja kaika (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

kushirikiana kwa pamoja kaika

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

nitarajie lin wewe kuja mpenz wang tufurah kwa pamoja

英語

can u text me in whatsapp

最終更新: 2024-01-14
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

sabuni, mafuta , michele kwa pamoja hutwa?

英語

soap, oil , michele collectively spent?

最終更新: 2024-01-10
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

inahuzunisha vibaya na ni ukichaa, vyote kwa pamoja.

英語

@freedomtrapped @lanceguma sad bad and mad, all of it.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

taarifa hii imeandikwa kwa pamoja na wajumbe wote wa kamati ya uchunguzi

英語

confirmation of account opening

最終更新: 2020-12-11
使用頻度: 2
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

uchimbaji na uvunjaji haramu kwa pamoja vimeongezeka tangu kuanza kwa vita nchini syria.

英語

illegal excavations and looting have exponentially increased since the beginning of the conflict in syria.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

makundi yote ya wapalestinayameungana na yanampinga adui, kwa kutumia nguvu zao zote za kijeshi kwa pamoja.

英語

all palestinian factions have united and are out facing the enemy, using all the military capabilities that they collectively have.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa pamoja, tunahitaji kulinda haki zetu pamoja na ardhi yetu tuliyoirithi kutoka kwa mababu zetu.”

英語

we need to collectively defend our human rights and our ancestral land.”

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa pamoja, tutaifanya singapore kuwa jamii ya kusisimua na shirikishi, yenye nafasi za maisha bora kwa kila raia.

英語

together, we will make singapore a vibrant and inclusive society, with opportunities for a better life for each and every citizen.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kutokuwepo kwa dalili au dalili za kiasi ndizo ziligunduliwa wakati popo waliambukizwa na cov, ikiashiria kuzoeleka kwa pamoja kati ya cov na popo.

英語

asymptomatic or only mild symptoms were detected when bats were infected with covs, indicating the mutual adaptation between covs and bats.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

karibuni kwenye unafiki na kujidanganya ambavyo kwa pamoja vinadunda katikati ya roho mitazamo ya kihafidhina ya kidini juu ya wanawake na uadilifu katika kufanya mapenzi.

英語

welcome to the hypocrisy and denial that together drum at the heart of conservative religious views on women and chastity.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa pamoja, tunafanya kazi ili kufikia lengo la kuzifanya habari zetu na mitandao yetu ya kiraia kutoka duniani kote kuifikia hadhira ya dunia nzima.

英語

together, we work towards the goal of making local citizen media and stories from around the world reach a truly global audience.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

akaunti ya twita na ya facebook ni kinyume cha sheria, faini ya sarafu 5,000 au kifungo jela hadi miaka mitano na kisichozidi miaka saba au vyote viwili kwa pamoja

英語

my twitter & facebook are illegal,the fine of five thousand currency points or imprisonment of a min. of 5 years & a maxi of 7 years or both — dr. frank mugisha (@frankmugisha) february 24, 2014

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

kila mwezi, waandishi wa gv(sauti za dunia) na nacla watakuwa wanafanya kazi kwa pamoja ili kutoa habari zitakazokuwa zinazungumzia mada moja.

英語

every month, gv and nacla authors will work together to provide content related to a specific topic.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

benki ya dunia kwa mfano inasema kwamba nchi zote za kusini mwa jangwa la sahara, ukiiacha afrika kusini, kwa pamoja hazizalishi umeme wenye mkondo mkubwa kuliko nchi moja tu ya argentina.

英語

the world bank for instance says that all sub-saharan african countries, minus south africa, combined do not generate more electricity than argentina.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kupitia toleo hili na yatakayofuatia mtaweza kuwasikia wahariri, waandishi, waanzilishi wenza na hata washiriki wengine wa mkutano huo kutoka mjini nairobi wakijadili mustakabali wa namna tunavyofanya kazi kwa pamoja mtandaoni.

英語

in this edition (and the next) you will hear from editors, authors, co-founders and other participants at the 2012 global voices citizen media summit in nairobi to discuss the future of how we all work together online.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katika mazingira ya kawaida bila kiwango kikubwa cha wanaojua kusoma, usambaaji wa intaneti husimama kati ya asilimia 13 mpka asilimia 15 (gaza na ukingo wa magharibi kwa pamoja).

英語

under normal circumstances and despite a high rate of literacy, palestine's internet penetration rate stands between 13 and 15 per cent (including both the west bank and gaza).

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

lengo la zapp ni kuwahusisha raia, watawala walio bungeni na serikalini, kwenye sekta za umma na zile binafsi katika kutengeneza muelekeo wa sera kwa pamoja na kuhakikisha maamuzi yanayofanywa katika ngazi zote yanaakisi matakwa ya watu wa zambia kuongozwa kwa mujibu wa kanuni za kidemokrasia.

英語

the mission of zapp is to engage citizens, leaders in parliament and government, public and private sectors in jointly setting policy direction and ensuring decisions made at all levels reflect the will of the zambian people to be governed according to democratic tenets.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

baada ya kupitia mijadala mbalimbali iliyotokea usiku wa uchaguzi, kuna wazo linaonekana kujitokeza kuwa sehemu ya mjadala: hitaji la kutambua kwa pamoja umuhimu wa kumaliza matabaka katika jamii, na hitaji la wadau wote kujichunguza wenyewe.

英語

after sifting through the numerous exchanges that took place during the night of the election, an idea seems to creep up as part of the debate: the need for mutual recognition to overcome the long separation of social classes, and the need for self-criticism from each of the players.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kileo ni kiua vijidudu cha haraka, lakini si papo hapo, kwa hivyo hii bado inahitaji sekunde zile 20 za kusugua mikono yako kwa pamoja, na kuhakikisha kwamba kila sehemu ya ngozi imepata maji, na kisha ni lazima usubiri karibu dakika nyingine moja, kwa kileo hicho kukauka kabisa.

英語

alcohol is a quick germ-killer, but it's not quite instant, so this still requires the same 20 seconds of rubbing your hands together, making sure that every single scrap of skin gets wet, and then you have to wait about another minute, for the alcohol to completely dry.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hata hivyo, vyombo vya dola vilianza kupambana kwa nguvu na vuguvugu hili mapema mwaka 2010, na mousavi pamoja na karroubi, ambao wote ni wagombea wa urais, ikiwa ni pamoja na mke wa mousavi aitwaye zahra rahnavard ambao kwa pamoja waliwekwa chini ya ulinzi na kuzuiliwa kutoka nyumbani kuanzia februari 14, 2011.

英語

but authorities began a widespread crackdown on the movement in early 2010, and mousavi and karroubi, both former presidential candidates, as well as mousavi's wife zahra rahnavard were placed under house arrest on 14 february 2011.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

関係性の低い人による翻訳は非表示になります。
関係性の低い結果を表示します。

人による翻訳を得て
7,770,617,183 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK