検索ワード: lipate (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

lipate

英語

get ready

最終更新: 2023-10-02
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

yeye huliondoa ndani yangu kila tawi lisilozaa matunda, na kila tawi lizaalo hulisafisha lipate kuzaa zaidi.

英語

every branch in me that beareth not fruit he taketh away: and every branch that beareth fruit, he purgeth it, that it may bring forth more fruit.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

basi, mungu aliye msingi wa matumaini, awajazeni furaha yote na amani kutokana na imani yenu; tumaini lenu lipate kuongezeka kwa nguvu ya roho mtakatifu.

英語

now the god of hope fill you with all joy and peace in believing, that ye may abound in hope, through the power of the holy ghost.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

huku kukiwa na tarehe za mwisho zinazobadilika badilika na hatimaye mchakato wa kutengeneza katiba ukiendelea kwa mwaka wa pili sasa, serikali ilibadilisha mbinu yake na kuiomba kamati ya ufundi kuchapisha nakala kumi pekee za rasimu ya katiba, ili baraza la mawaziri lipate fursa ya kuiptia kwanza.

英語

with shifting deadlines and the constitution making process running into two years, the government changed its approach and asked the technical committee to only print ten copies of the draft constitution, which the cabinet was to study first.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

basi, ningependa ninyi nyote mseme kwa lugha ngeni lakini ningependelea hasa muwe na kipaji cha kutangaza ujumbe wa mungu, maana mtu mwenye kipaji cha kutangaza ujumbe wa mungu, ni wa maana zaidi kuliko yule mwenye kusema lugha ngeni, isipokuwa tu kama yupo hapo mtu awezaye kuyafafanua hayo mambo asemayo, ili kanisa lipate kujengwa.

英語

i would that ye all spake with tongues, but rather that ye prophesied: for greater is he that prophesieth than he that speaketh with tongues, except he interpret, that the church may receive edifying.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,740,830,649 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK