検索ワード: mabilioni (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

mabilioni

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

tafadhali rais sata badilisha noti sasa ili (waliofukua fedha ardhini) wakose pa kuyapeleka hayo mabilioni ya kwacha bandia.

英語

please president sata change the currency now so that they can get stuck with their billlions of fake kwacha.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hatuwezi kugeuza shavu la pili na kujifanya kwamba si wanasayansi wala wahandisi huendeleza teknolojia ambazo baadaye hutumika kwa minajili ya kupeleleza mabilioni ya wananchi au kuua raia kwa vifaa vya udhibiti.

英語

we cannot turn the other cheek pretending that it is not scientists and engineers who develop technologies that are later used to spy on billions of citizens or kill civilians by remote control.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

baada ya hapo, matamko kadhaa yalisomwa na mtangazaji, hasa akieleza jinsi mabilioni ya dola yatakavyotumika katika kujenga nyumba bora, kazi na afya kwa raia wote wa saudia.

英語

following that, a series of royal decrees were read by an announcer,outlining how billions of dollars would be spent to provide better housing, jobs and health care to saudis.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa mujibu wa makala, serikali za marekani na uingereza zina hifadhi ya madawa ya tamifluiflu yenye thamani ya mabilioni ya dola ambazo lazima wazitumie ndani ya miezi michache ijayo, vinginevyo yatapita muda wake.

英語

according to the article, the us and uk governments have billions of dollars worth of tamifluiflu stock that they must use within the next few months, or they’ll expire.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

majumder, alirejelea matukio ya udanganyifu yaliyotokea hivi karibuni, kama yale ya2g na nrega, ambayo yaligharimu mabilioni ya dola na kupandikiza hali ya kukosa imani kubwa kwa namna serikali ya india inavyotimiza majukumu yake.

英語

majumder, was making a reference to recent scams such as 2g and nrega, which have run into billions of dollars and planted grave mistrust towards the way indian government functions.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kundi la talaat mustafa (tmg), ubia mkubwa wa biashara ya majengo ambao mustafa alitengeneza mabilioni, hautaki wadau wahofu kwa sababu tu mwenye kampuni amehukumiwa adhabu ya kifo.

英語

the talaat mustafa group (tmg), a huge real estate conglomerate through which mustafa made his billions, doesn't want any stockholders to worry just because the company's founder and namesake is under a death sentence.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

benoît illassa mjini cotonou anashangaa kwa nini vikundi binafsi vya kuwekeza kutoka aidha niger au cotonou havikuchaguliwa kuelekeza miradi hiyo.bajeti ya makadirio imewekewa kati ya mabilioni 100 za cfa (takribani dola bilioni 2).

英語

benoît illassa in cotonou wonders why private investing groups from either niger or cotonou were not selected to pilot such projects. the projected budget is set at 100 billions cfa (about 2 billions usd).

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

inanishangaza kwamba, pamoja na mazungumzo yote kuhusu kuongeza uzalishaji wa umeme, hakuna anayetaka kukiri kuona kuwa inawezekana kabisa kuwa ukiritimba wa serikali na vitendo vya ufisadi ni tatizo, na kwamba mabilioni yanayokwenda serikalini yanakuza ufisadi tu, yakisaidia walengwa kwa kiasi kidogo sana.

英語

it amazes me that, with all of the talk about increasing electricity production, nobody wants to admit into the discussion the possibility that government monopolies and corruption are the problem, and that billions more in money transferred to governments will only entrench the corruption further, with little benefit for the people.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,739,465,252 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK