検索ワード: madini ya ulanga (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

madini ya ulanga

英語

malnutrition

最終更新: 2019-01-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

madini ya asili

英語

iron silver mercury gopld copper

最終更新: 2015-10-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

madini ya michelle ni nini

英語

what is mining of michelle

最終更新: 2021-10-08
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

uchunguzi wa “utengenezaji” wa titi kwa kutumia madini ya silikoni.

英語

examination of a silicone breast implant.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mgogoro wa ardhi ulianza mwaka wa 1991 wakati madini ya mica yilipogunduliwa katika kijiji hicho cha andranondambo.

英語

the land dispute started in 1991 when an important source of sapphire and mica was discovered in the andranondambo.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

wakati huo huo, gari jingine lilipuka kwenye mgodi wa madini ya uraniam unaomilikiwana kampuni ya areva group mjini arlit, niger.

英語

simultaneously, another car exploded in an uranium mine exploited by the areva group in arlit, niger.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa upande mwingine, maoni yaliyotokana na tukio hilo yaliukosoa unyanyasaji unaofanywa dhidi ya watu wa afrika katika biashara ya madini ya dhahabu inayosimamiwa na china nchini ghana.

英語

on the other hand, more reflective comments criticized the discrimination against african people in chinese gold mining business in ghana.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

je ni mimi, au ni uchafuzi wa aina ya ajabu kuunganisha kupigwa na kuuwawa kwa wahindi nchini australia na sera za sasa kuhusiana na uuzaji wa madini ya uranium kwa india?

英語

is it just me, or is it just grubbiness of an arcane kind to link the assault and murder of indians in australia to australia's current policies in relation to the sale of uranium to india?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

tangu rais wa malawi bingu wa mutharika aliposema rasmi kuwa karonga ni sehemu ya janga la kitaifa, rai za kuwasaidia waliathirika zimekuwa zikimiminika ili kuwasaidia watu katika wilaya hii ya migodi ya madini ya uranium.

英語

since malawi's president bingu wa mutharika declared karonga as a national disaster area, appeals for help to the victims have been pouring to help the people in the uranium mining district.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

michael green wa shirika la marekani la kudhibiti na kuzuia magonjwa, anasema kuwa dawa hizi bandia kutoka uchina, huwa zina madini ya chaki (calcium carbonate).

英語

“we found out that many of the fake artesunates, posing as a particular brand produced in china, contained calcium carbonate," says green .

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

badala yake, bwana limebuniwa kudhibiti maji ya mto sanaga ili kuongeza uzalishaji wa umeme kwenye mashine za kufua umeme zilizopo tayari na zile zinazokusudiwa kujengwa ili kutosheleza mkondo wa umeme wa kusini pamoja na mgodi wa machimbo ya madini ya aluminiam wa alucm unaotumia umeme zaidi nchini humo.

英語

instead, the dam is designed to regulate the flow of the sanaga river in order to increase energy production from existing and proposed downstream hydropower plants serving the southern electricity grid and the country’s single largest electricity consumer, the alucam aluminum smelter.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

akiandika katika tovuti ya registan.net, alexander visotsky anaangalia mashtaka ya rushwa dhidi ya mukhtar dzhakishev yaliyotokana na uuzaji wa madini ya uranium kinyume cha sheria na kuhitimisha, “vita dhini ya rushwa nchini kazakhstan ni mchezo wa kisiasa zaidi ya jitihada za kuing’oa rushwa.”

英語

writing in registan.net, alexander visotzky looks at the corruption charges against mukhtar dzhakishev for the illegal sale of uranium and concludes, "the fight against corruption in kazakhstan is apparently much more of a political game than an attempt to root out corruption."

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,730,679,326 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK