検索ワード: mahututi (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

mahututi

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

hata hivyo, wagonjwa waliohamishwa kwa chumba cha hali mahututi walikuwa na muda wastani wa siku saba kati ya kulazwa hospitalini na kufa.

英語

however, patients transferred to an icu had a median time of seven days between hospitalisation and death.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

nyaraka za matibabu kutoka hospitali ya milpark zinaonyesha kuwa watu 16 walikuwa katika kitengo cha wagonjwa mahututi na hapakuwa na nyaraka zozote zinazomhusu rais.

英語

medical records from milpark hospital indicate 16 people were at the intensive care unit this morning at the hospital and none of the president.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

madaktari wa hali mahututi na madaktari wa mapafu huko marekani wamejumuisha mapendekezo ya matibabu kutoka kwa mashirika anuwai kuwa rasilimali ya bila malipo, ibcc.

英語

intensivists and pulmonologists in the u.s. have compiled treatment recommendations from various agencies into a free resource, the ibcc.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mgogoro wao na serikali umetokana na madai yao ya kuboreshewa maslahi na mazingira ya kazi pamoja na kurekebishwa kwa gharama za chumba cha wagonjwa mahututi katika mahospitali yote nchini humo.

英語

the dispute with the government is based on demands for wage increase and standardisation, as well as the readjustment of the emergency room prices throughout the country's hospitals.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

nchini uchina, takriban asilimia 30 ya watu waliolazwa hospitalini kwa sababu ya covid-19 , hatimaye walilazwa kwenye chumba cha hali mahututi.

英語

in china, approximately 30% of people in hospital with covid-19 are eventually admitted to icu.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

makadirio ya asilimia ya wagonjwa waliolazwa hospitalini kwa kulazwa au bila kulazwa katika chumba cha wagonjwa walio katika hali mahututi wenye umri wa ≥19 waliokuwa na wasiokuwa na hali sugu yalifanywa.

英語

percentages of hospitalizations with and without icu admission were estimated for persons aged ≥19 years with and without underlying health conditions.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hesabu ya asilimia ya wagonjwa wa umri zote waliokuwa na hali sugu za afya ambao hawakulazwa hospitalini, waliolazwa hospitalini bila kuwekwa katika chumba cha kushughulikiwa wagonjwa mahututi icu na waliolazwa hospitalini kwenye chumba cha kushughulikiwa wagonjwa mahututi icu ilipigwa.

英語

the percentages of patients of all ages with underlying health conditions who were not hospitalized, hospitalized without icu admission, and hospitalized with icu admission were calculated.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

genesis carmona (23) amejeruhiwa na risasi akiwa kwenye maandamano jijini valencia ametoka kwenye chumba cha upasuaji, na sasa yu katika chumba cha wagonjwa mahututi.

英語

genesis carmona (23) wounded by a bullet at the protest in valencia comes out of the operating theatre, is now in intensive care.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kulingana na hali ilivyo nchini italia, mataifa, hospitali na vitengo vya kushughulikia wagonjwa mahututi vinapaswa kuongeza hali yao ya kuwa tayari kwa ongezeko la wagonjwa wa covid-19 watakaohitaji matiababu na hasa hali mahututi.

英語

based on the experience from italy, countries, hospitals and intensive care units should increase their preparedness for a surge of patients with covid-19 who will require healthcare, and in particular intensive care.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

asilimia ya wagonjwa wa covid-19 waliokuwa na angalau hali moja sugu ya afya au kigezo cha hatari ilikuwa juu miongoni mwa wale waliohitaji kulazwa kwenye chumba cha kuhudumia wagonjwa mahututi icu (358 kati ya 457, 78%) na wale waliohitaji kulazwa hospitalini lakini sio katika icu kwa 9732 kati ya 1,037, 71%) kuliko miongoni mwa wale ambao hawakulazwa hospitalini (1,388 kati ya 5,143, 27%).

英語

the percentage of covid-19 patients with at least one underlying health condition or risk factor was higher among those requiring intensive care unit (icu) admission (358 of 457, 78%) and those requiring hospitalization without icu admission (732 of 1,037, 71%) than that among those who were not hospitalized (1,388 of 5,143, 27%).

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,761,683,905 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK