検索ワード: mama mwenye nyumba (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

mama mwenye nyumba

英語

mama mwenye nyumba

最終更新: 2022-03-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

tunamwaminia kabisa fundi sanifu mwenye nyumba wetu.

英語

our landlord-architect has our complete trust.

最終更新: 2023-08-10
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

jueni kwamba, kama mwenye nyumba angejua saa ambayo mwizi atakuja, angekesha, wala hangeiacha nyumba yake ivunjwe.

英語

and this know, that if the goodman of the house had known what hour the thief would come, he would have watched, and not have suffered his house to be broken through.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

lakini kumbukeni jambo hili: kama mwenye nyumba angejua siku mwizi atakapofika, angekesha, wala hangeiacha nyumba yake ivunjwe.

英語

but know this, that if the goodman of the house had known in what watch the thief would come, he would have watched, and would not have suffered his house to be broken up.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kesheni, basi, kwa maana hamjui mwenye nyumba atarudi lini; huenda ikawa jioni, usiku wa manane, alfajiri au asubuhi.

英語

watch ye therefore: for ye know not when the master of the house cometh, at even, or at midnight, or at the cockcrowing, or in the morning:

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mpaka katika nyumba atakayoingia, mkamwambie mwenye nyumba, mwalimu anasema: wapi chumba changu ambamo nitakula pasaka pamoja na wanafunzi wangu?

英語

and wheresoever he shall go in, say ye to the goodman of the house, the master saith, where is the guestchamber, where i shall eat the passover with my disciples?

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kesho yake akatoa fedha dinari mbili akampa yule mwenye nyumba, akamwambia, muuguze mtu huyu; na chochote utakachotumia zaidi, nitakulipa nitakaporudi."

英語

and on the morrow when he departed, he took out two pence, and gave them to the host, and said unto him, take care of him; and whatsoever thou spendest more, when i come again, i will repay thee.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

hiyo hapo mwenye nyumba napangisha. ipo karibu na mlimani city na chuo cha ardhi vyumba vitatu kimoja master sebule dinning na jiko ndani full tiles gypsum maji na umeme gali mpaka mlangoni aluminium windows kodi 300 000 mawasiliano 0659 693503 nb mm ndie mwenye nyumba

英語

that's where the landlord is renting. located near mountain city and land college three rooms one master living room dinning with indoor stove full tiles gypsum water and electric garage till door aluminum windows rent 300 000 contacts 0659 693503 nb mm homeowner

最終更新: 2020-07-01
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

maisha na nyakati za mwenye nyumba wa kihindi(the life and times of an indian homemaker)inaleta sehemu ya barua pepe ya shujaa aliyeponea mateso ya ngono utotoni ambaye pia alitizama sehemu ya pili ya swala hilo:

英語

the life and times of an indian homemaker shares an email from a courageous survivor of child sexual abuse who watched the second episode on the same subject:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mtumishi huyo akarudi na kumwarifu bwana wake jambo hilo. yule mwenye nyumba alikasirika, akamwambia mtumishi wake: nenda upesi kwenye barabara na vichochoro vya mji, uwalete hapa ndani maskini, viwete, vipofu na waliolemaa.

英語

so that servant came, and shewed his lord these things. then the master of the house being angry said to his servant, go out quickly into the streets and lanes of the city, and bring in hither the poor, and the maimed, and the halt, and the blind.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

msichana mmoja mchanga aliyezaliwa na mama mwenye covid-19 alikuwa na viwango vya juu vya igm saa mbili baada ya kuzaliwa, na kupendekeza kuwa alikuwa ameambukizwa kwenye tumbo la uzazi na kuonyesha uwezekano wa maambukizo ya ugonjwa kwa mtoto katika baadhi ya visa.

英語

one infant girl born to a mother with covid-19 had elevated igm levels two hours after birth, suggesting that she had been infected in utero and supporting the possibility of vertical transmission in some cases.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

yesu akasema, "sikilizeni mfano mwingine. mtu mmoja mwenye nyumba alilima shamba la mizabibu; akalizungushia ukuta, akachimba kisima cha kusindikia divai, akajenga humo mnara pia. kisha akalikodisha kwa wakulima, akasafiri kwenda nchi ya mbali.

英語

hear another parable: there was a certain householder, which planted a vineyard, and hedged it round about, and digged a winepress in it, and built a tower, and let it out to husbandmen, and went into a far country:

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,763,156,521 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK