検索ワード: mbaroni (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

mbaroni

英語

arrested

最終更新: 2021-02-25
使用頻度: 2
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kisha wakawatia mbaroni waandamanaji.

英語

then they arrested protesters.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

sielewi kwa nini wanablogu hawa wametiwa mbaroni.

英語

i do not understand why these bloggers have been detained.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

cuba: ukweli wa sanchez kutiwa mbaroni waibuka

英語

cuba: details of the sánchez detention emerge · global voices

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

misri: wanablogu watiwa mbaroni kufuatia kutembelea kwao naha hammady

英語

egypt: bloggers arrested over naga hammady visit · global voices

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa mujibu wa mtumiaji wa flickr, agha hadi, wanafunzi wengi walitiwa mbaroni.

英語

according to the flickr user, agha hadi, many students were jailed.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

zaidi ya wanablogu 20 wa misri wametiwa mbaroni mara baada ya gari moshi walilokuwa wakisafiria kuwasili katika kijiji cha naga hammady huko misri ya juu.

英語

more than 20 egyptian bloggers were arrested when their train arrived in the village of naga hammady in upper egypt.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

green vote pia alituma ujumbe mwingine wa twita unaosema kwamba mohammad ali tarekh, mwanafunzi mwanaharakati, alitiwa mbaroni kwenye jimbo la shiraz.

英語

green vote also tweeted that mohammad ali tarekh, a student activist, was arrested in shiraz.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

@shahdan_shosh aliweka picha hii ya vijana 11 waliotiwa mbaroni kwa kosa la kukutanika kupata daku - chakula kinacholiwa usiku kwa ajili ya kuendelea na fungo wa siku inayofuata wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhani kwa waislamu (chanzo: mtandao wa twita)

英語

@shahdan_shosh shares this photograph of 11 young men arrested for having suhoor - a latenight meal to prepare them to fast the next day during the muslim month of ramadan (source: twitter)

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,747,951,150 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK