検索ワード: mgongano wa lugha (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

mgongano wa lugha

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

ujuzi wangu wa lugha ni duni

英語

my language skills are inadequate

最終更新: 2023-04-05
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mgongano wa jumbe hizo umepelekea kutokuwepo kwa uhakika na kuchanganyikiwa.

英語

the clash of messages has led to uncertainty and confusion.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kupigwa marufuku burqa huko ufaransa: mgongano wa kiutamaduni wafunuliwa

英語

the french burqa ban: culture clash unveiled

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

sawa, asante. nimefurahishwa sana na uwezo wako wa lugha ya kiswahili. pongezi!

英語

nitaitafuta

最終更新: 2020-05-16
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hata hivyo, mawasiliano ya mtandao yamethibitisha kuwa sehemu za muhimu ya utunzaji na uhuishaji wa lugha.

英語

however, internet communication has proven to be an important part of language preservation and revitalization.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ndugu, mimi nilipokuja kwenu sikuwahubiria siri ya ujumbe wa mungu kwa ufasaha wa lugha, au kwa hekima ya binadamu.

英語

and i, brethren, when i came to you, came not with excellency of speech or of wisdom, declaring unto you the testimony of god.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kama tunapaswa kutafsiri njia ya maendeleo 'yetu', basi uchaguzi wa lugha lazima uende sambamba na njia hiyo.

英語

if we have to define "our" development path, then the language choice must go hand-in-hand with it.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

hata vivyo, rachna aliwakumbushas watumiaji wa mtandao wa intaneti wanaoshiriki kwenye midahalo ya kisiasa kuheshimu hali ya mgongano wa mawazo:

英語

however, rachna reminded cambodian netizens participating in political debates to respect diverse views:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ni katika kipindi cha kizazi kimoja tu kilichopita ambapo wamalawi wengi walikuwa wakizungumza lugha zaidi ya moja, kwa wastani wa lugha mbili au zaidi.

英語

just a generation ago most malawians were multi-lingual, speaking two or more languages on average.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

zana za kidijitali zilizorahisi kutumia zinasaidia watu kutengeneza maudhui kwa lugha zao, na kusaidia upatikanaji wa mtandao wa wazungumzaji wa lugha hizi, bila kujali sehemu za kijiografia.

英語

easy-to-use digital tools allow for more people to create content in their language, and the internet for speakers of these languages to connect, regardless of geographic distances.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hata hivyo, tutataja machache tu, yaani wale wanawake walioguswa na kupaza sauti zao kupitia mtandao wa lugha ya ki-hispania wa web 2.0.

英語

nevertheless, we will mention a handful of these cases, women who have been moved to speak out the loudest throughout the hispanic web 2.0.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa mfano nchini mali, ambapo hali ya lugha iliangaziwa kwenye blogu hii katika kutazama uzungumzaji wa lugha - kibambara kinaonekana kuwa lugha maarufu kuliko hata lugha rasmi ya kifaransa.

英語

an example is mali, whose linguistic profile was explored on this blog in discussing the long-tail of languages - bambara is certainly more used than the official french.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mara nyingi huwa wanaishia kuwatukana wengine pale kunapotokea mgongano wa kimawazo. wanaamini kuwa wana uhuru wa kukiunga mkono chama fulani-lakini hawaheshimu haki ya watu wengine ya kukiunga mkono chama kingine.

英語

they normally end up cursing others for having opposite ideas they believe they have freedom to support a party - but they don't respect others' freedom to support a different party.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

global voices na connectas , shirika lenye mwelekeo wa kiuandishi wa habari la amerika kusini lenye makazi yake nchini colombia, wamefikia makubaliano ya kushirikiana maudhui yanayoandikwa na connectas kwenye mtandao wa lugha nyingi wa global voices.

英語

global voices and connectas , colombia-based latin american journalistic organization, have partnered to share content produced by connectas on multilingual global voices network.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

maelezo yafuatayo yaliandikwa na kutafitiwa na renata avila, ambaye ni kiongozi wa creative commons huko guatemala, pia ni mkurugenzi wa primer palabra, na ni mtafiti wetu wa lugha ya kihispania huko latini amerika kuhusu mtandao wa teknolojia wa kutetea uwazi.

英語

the following profiles were written and researched by renata avila, the lead of creative commons guatemala, the director of primer palabra, and our researcher for spanish-language latin america on the technology for transparency network.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

carlos serra anajiuliza kama kuna lugha nyingine zaidi, kwa mujibu wa wataalamu wa lugha mashuhuri:"kuna mtu aliniambia kuwa zipo kati ya 20 na 26; mwingine akaniambia zipo 17 zilizoandikwa na nyingine bado hazijaweza kuandikwa".

英語

carlos serra wonders if there are more, according to two renowned linguists: "one told me that there were between 20 and 26; the other told me that there were 17 written and some yet to be spelled out".

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

lugha ya ki-manx katika kisiwa cha man ilitoweka mwaka 1974 wakati ned maddrell, mzungumzaji pekee wa lugha hiyo alipofariki wakati lugha ya ki-eyak huko alaska marekani, ilikumbana na maangamizi mwaka jana kilipotokea kifo cha marie smith jones.

英語

the language of manx in the isle of man died out in 1974 when ned maddrell, the last speaker, passed away while eyak, in alaska, united states, met its demise last year with the death of marie smith jones.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

abdullah waheed, mzungumzaji asilia wa ki-dhivehi - lugha "rasmi" ambayo haina wazungumzaji wengi visiwani maldives - anafafanua katika mfano mmoja ni kwa nini uhifadhi wa lugha ni muhimu:

英語

abdullah waheed, a native speaker of dhivehi – an "official" language yet one with not many speakers in maldives – explains in one example why language preservation matters:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,765,058,590 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK