検索ワード: minyororo (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

minyororo

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

na wengine wafungwao kwa minyororo.

英語

and also others bound in fetters.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

na utaona wakhalifu siku hiyo wamefungwa katika minyororo;

英語

and on that day you will see the guilty linked together in chains.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

zitakapo kuwa pingu shingoni mwao na minyororo, huku wanabururwa

英語

when around their necks will be shackles and chains; they will be dragged. –

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hakika sisi tumewaandalia makafiri minyororo na pingu na moto mkali.

英語

[now,] behold, for those who deny the truth, we have prepared chains, iron collars and a blazing fire, but

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

marekani: wanawake walio kwenye uchungu wa kuzaa hawatafungwa tena minyororo.

英語

usa: women in labor no longer to be shackled.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wengine walidhihakiwa na kupigwa mijeledi, na wengine walifungwa minyororo na kutupwa gerezani.

英語

and others had trial of cruel mockings and scourgings, yea, moreover of bonds and imprisonment:

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa sababu ya kuihubiri habari njema mimi nateseka na nimefungwa minyororo kama mhalifu. lakini neno la mungu haliwezi kufungwa minyororo,

英語

wherein i suffer trouble, as an evil doer, even unto bonds; but the word of god is not bound.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ni kwa sababu hiyo nimeomba kuonana na kuongea nanyi, maana nimefungwa minyororo hii kwa sababu ya tumaini lile la israeli."

英語

for this cause therefore have i called for you, to see you, and to speak with you: because that for the hope of israel i am bound with this chain.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

"kwa sababu kuwa huru si tu kutupa minyororo, bali kuishi katika namna inayoheshimu na kukuza uhuru wa wengine."

英語

"for to be free is not to merely cast off one's chains, but to live in a way that respects and enhances the freedom of others. "#ripmandela — angisiwe mafumana (@angi_m_) december 6, 2013

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

herode ndiye aliyekuwa amemtia yohane nguvuni, akamfunga minyororo na kumtia gerezani kwa sababu ya herodia, mke wa filipo, ndugu yake. sababu hasa ni

英語

for herod had laid hold on john, and bound him, and put him in prison for herodias' sake, his brother philip's wife.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mkuu wa jeshi alimwendea paulo, akamtia nguvuni na kuamuru afungwe minyororo miwili. kisha akauliza, "ni mtu gani huyu, na amefanya nini?"

英語

then the chief captain came near, and took him, and commanded him to be bound with two chains; and demanded who he was, and what he had done.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

insha ya atwood kwenye wavuti ya amnesty international inaonyesha mambo mawili, sehemu inayohusu taratibu za kujifungua huku umefungwa minyororo kama yalivyoelezwa kwenye mtoto wa vanessa na pia inaonyesha jambo jingine kuhusu mfumo wa magereza na umama, kwa kutumia picha za wanawake wakati mpigapicha akisoma insha kuhusu uzoefu wake wa kutembelea magereza huku akipiga picha.

英語

the atwood documentary in the amnesty international site features both a section on the process of giving birth in shackless as told in vanessa's baby and another on prison systems and motherhood, with fotographs of the women while the photographer reads an essay on her experiences visiting the prisons and taking the pictures.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ambao kwamba wanamfuata huyo mtume, nabii, asiye soma wala kuandika, wanaye mkuta kaandikwa kwao katika taurati na injili, anaye waamrisha mema na anawakanya maovu, na anawahalalishia vizuri, na ana waharimishia viovu, na anawaondolea mizigo yao na minyororo iliyo kuwa juu yao.

英語

"those who follow the messenger, the unlettered prophet, whom they find mentioned in their own (scriptures),- in the law and the gospel;- for he commands them what is just and forbids them what is evil; he allows them as lawful what is good (and pure) and prohibits them from what is bad (and impure); he releases them from their heavy burdens and from the yokes that are upon them.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,743,440,123 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK