検索ワード: mjamzito (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

mjamzito

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

inasemekana alikuwa mjamzito.

英語

she was reportedly pregnant.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kugoma kwa mjamzito wa miaka 11 kutoa mimba kumesababisha utata.

英語

pregnant 11-year-old who refused to abort creates controversy.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

zainab yuko kwenye hatari ya kifungo; ni mjamzito wa miezi nane

英語

zainab is at risk of arrest now; 8 months pregnant #bahrain — maryam alkhawaja (@maryamalkhawaja) october 14, 2014

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa hivyo unafikiri kwamba baadhi ya dalili hizi zinawea kuhusiana na kuwa mjamzito?

英語

so do you think that some of these symptoms could be related to being pregnant?

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

• je, ujauzito unapaswa kuwa juu ya hali nyinginezo za kisheria kumhakikishia mwanamke mjamzito haki zake za kibinadamu?

英語

should maternity overrule any other legal conditions to ensure a pregnant woman's human rights?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hivi karibunituliandika kuhusu msichana wa miaka 10 aliyekuwa mjamzito nchini paraguay kwa kudaiwa kubakwa na baba yake wa kambo na namna alivyoshindwa kutoa mimba hiyo kwa sababu sheria za nchi hiyo zinazuia utoaji wa mimba.

英語

we wrote recently about about a 10-year-old pregnant girl from paraguay who was allegedly raped by her stepfather and who was unable to have an abortion because of legal limitations in the country.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mambo pekee ambayo hayakujumuishwa kabisa katika mswada huu ni pamoja na mazingira ambayo mimba inahatarisha maisha ya mama mjamzito, ugonjwa uliothibitishwa kuwa mtoto hatapona na ujauzito uliothibitika kuwa ulitokana na kubakwa.

英語

the only exceptions foreseen in the proposal included cases when the pregnancy threatened a woman’s life, when a fetus had grave pathologies, and when the pregnancy was proven to have resulted from rape.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa hivyo miongozo yao inashauri kuwa mtu yeyote ambaye ni mjamzito alliyelazwa hospitalini kwa sababu ya maambukizo ya covid-19 anapaswa kupewa heparin yenye uzito wa chini wa molekuli kwa siku 10 baada ya kutolewa hospitalini.

英語

their guidelines thus advise that any pregnant person admitted to hospital with a covid-19 infection should receive at least 10 days of prophylactic low-molecular-weight heparin after being discharged from the hospital.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kuna maswali machache yanayokuja akilini kuhusu haki ya mwanamke mjamzito kuishi na kumlea mwanae anapokuwa kapatikana na hatia kwa kosa la jinai la namna fulani: • inakuwaje kwao wanapokuwa wajawazito na kupata mtoto wakiwa gerezani?

英語

there are a few questions that come to mind regarding a pregnant woman's right to live and to raise her child when she has been convicted for some sort of crime: what is it like for them to be pregnant and have their child behind bars?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,761,903,248 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK