検索ワード: mkanganyiko (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

mkanganyiko

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

kwa hiyo mkanganyiko ni upi?

英語

so what's the controversy?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

“kuna mkanganyiko wa wazi kabisa.

英語

“there is absolute confusion.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mkanganyiko wa makubaliano ya oic kuanzisha ofisi nchini myanmar

英語

confusion over agreement with oic to establish office in myanmar · global voices

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hata hivyo, haikutaja yaliyomo kwenye hati ya makubaliano iliyosababisha mkanganyiko.

英語

however, it didn't mention the content of the controversial mou.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

anafanya mkanganyiko huu wa ajabu unaotokea mbele ya macho yetu uanze kueleweka.

英語

he is giving sense to this madness going on under our eyes.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mswada huu umeleta mkanganyiko mkubwa kiasi cha kuibua mijadala mikali katika mitandao ya intaneti na uraiani.

英語

the proposal has proven quite controversial and sparked active discussions both online and offline.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mazungumzo na wauza matofaa kwa hakika yanaibua mengi kuhusu mitizamo inayoambatana na rangi ya mtu ambayo ina mkanganyiko:

英語

the conversations with those selling the apples certainly reveal a lot about the perceptions associated with race which engender misconceptions:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

miongoni mwa mambo yanayojadiliwa ni pendekezo la mfumo wa serikali, mkanganyiko wa masualaa ya mali asili na ushawishi wa kidini.

英語

amongst the contentious issues include the proposed model of government, the controversial issue of natural resources and the religious influence.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa malema, chochote kama hakitaleta mkanganyiko wa fikra, hakina faida ya kukisema, kwa mujibu wa namna lady malema anavyowaza.

英語

for malema, if it isn’t going to be controversial, it is not worth saying anything about it, according to how lady malema thinks.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

#dershowitz ameonyesha mkanganyiko wa wa kurithi kimantiki marekani; kuifanya afrika kuwa ya kizamani na kuiona afrika kusini kuwa yenye uchafu wa kimaadili

英語

#dershowitz aptly demonstrates genetic fallacy pervasive in #america;analogise #african with villainy #southafrica http://t.co/kell7coh2p — progress4afrika (@hustlechowindar) march 5, 2014

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

david shinn, balozi wa zamani wa marekani nchini burkina faso na ethiopia, anasema rekodi ya ukomo wa mihula ya urais katika siasa za afrika ina mkanganyiko:

英語

david shinn, the former us ambassador to burkina faso and ethiopia, says the track record on term limits in african politics is "mixed":

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

bado kuna mkanganyiko kuhusu swali la nani hivi sasa ndiye mwenye udhibiti wa radio télévision ivoirienne (rti), ambacho ni kituo cha televisheni ya taifa.

英語

confusion surrounds the question of who is currently in control of the radio télévision ivoirienne (rti), the ivorian national television station.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mtu anabaki kujiuliza, hivi nini kinafuata, hasa katika kipindi hiki ambapo kuna wanasiasa wenye matumaini ya kunyakua cheo hicho cha juu zaidi katika taifa hili, ambapo hata hivyo jukumu la kuiondoa nchi katika mkanganyiko huu mkubwa liko zaidi mabegani mwa asif zardari na nawaz sharif, ambapo wote wawili ni wanasiasa ambao hawakuchaguliwa lakini ambao wengi wanawawekea matumaini makubwa ya kuiondoa nchi hii kutoka katika lindi la vurugu ambamo imo kwa sasa.

英語

one does wonder what next, wherein lies a huge mixture of political wannabes eying for the top slot, though the onus of pulling the country out of the mess lies squarely on the shoulder of asif zardari and nawaz sharif, both unelected politicians entrusted with the faith of a nation to hopefully pull this country out of the mess it now finds itself in.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,742,815,459 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK