検索ワード: mwaka jana nilikwenda (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

mwaka jana nilikwenda

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

mrie: mwezi novemba mwaka jana.

英語

mrie: it happened last november.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

angalia kile tulichokiandika mwaka jana kupata wazo la kile tunachokitafuta.

英語

take a look at what was featured last year to get an idea of what we’re looking for.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

maadhimisho ya siku ya uhuru wa zambia mwaka jana jijini lusaka.

英語

zambia's national freedom day last year in lusaka.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mnamkumbuka binti wa miaka mitano aliyebakwa huko lahore, mwaka jana?

英語

remember that five-year-old girl who was raped in lahore, last year?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mwezi desemba mwaka jana, thinley tsekar na gonpo tenzin walikamatwa wilayani diru.

英語

last december, thinley tsekar and gonpo tenzin were arrested in diru county.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hapa anazungumzia kile alichokiita ubunifu wa kinyonga katika mkutano wa tedxkraków wa mwaka jana:

英語

here he is talking about what he called chameleon architecture at last year's tedxkraków:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ila “uelewa wa kimazingira” ama maisha endelevu unasababishwa na mada ya mwaka jana; umasikini.

英語

rather the "environmental consciousness" or sustainable living is caused by last year's topic; poverty.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

hii ni tofauti, ajali ya ndege kule perm mwaka jana ambayo ilitoa fursa nyingi kwa uanahabari wa kiraia:

英語

in contrast, the plane crash in perm last year provided many opportunities for citizen reporting:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mwaka jana alishiriki katika mgomo wa kula uliodumu kwa muda wa siku 56 akiwa na wanafunzi wengine wanne wakidai haki ya kurejeshwa shuleni.

英語

he was involved last year in a 56-day hunger strike with another four students demanding their right to go back to school.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mwanablogu royale somalia anatoa wasifu wa daktari mdogo wa kike jijini mogadishu ambaye alimaliza masomo mwaka jana, anaandika:

英語

blogger royale somalia profiles a young female somali doctor in mogadishu who'd graduated last year, he writes:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ahmed ismail ni mpiga picha za video ambaye aliuawa mjini salambad mwaka jana (2011) wakati alipiga picha za maandamano.

英語

ahmed ismail is a videographer who was killed in salambad last year while filming a protest.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

leo, imewahukumu kifo wafuasi 529 wa chama cha muslim brotherhood kwa kuhusika na vitendo vya ghasia huko minya, kaskazini mwa misri, mwezi agosti mwaka jana.

英語

egypt today sentenced 529 muslim brotherhood supporters to death for their roles in violent riots in minya, in upper egypt, last august.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

gereza la lukyanivska lilipata kufahamika kwa macho ya kimataifa mwaka jana, pale waziri mkuu wa zamani, yulia tymoshenko alipowekwa kizuizini katika gereza hilo na hasa wakati wa kesi yake.

英語

lukyanivska prison gained some international exposure last year, when ex-pm yulia tymoshenko was placed there during her trial.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

chama kikubwa ambacho kimekuwa kikitumia huduma hizo ni chama cha da (democtratic alliance) ambacho kampeni yake imetiwa moyo na kampeni ya mwaka jana ya obama.

英語

the most prominent party making use of these techniques has been the da (democratic alliance) whose campaign seems to have been inspired by president obama's election campaign last year.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kama nilivyoeleza katika mazungumzo yangu ya naukas bilbao mwaka jana, shirika la usalama wa taifa (nsa) huajiri theluthi tatu ya wataalamu wa hisabati kote duniani.

英語

as explained in my naukas bilbao talk last year, the national security agency (nsa) hires a third of all mathematicians in the world.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hata hivyo, ni sawa kusema kuwa, mpaka sweden ilipoamua kwamba itapunguza msaada wake kwenye bajeti ya msumbiji mwaka jana, misuguano kati ya nchi wafadhili na na serikali inayopokea viliendelea kubaki ndani ya milango iliyofungwa.

英語

yet, it is safe to say that, until sweden decided that it would reduce its support to the mozambican budget last year, most of the tension between donor countries and the receiving government remained behind closed doors.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

aliyekuwa katibu mkuu wa nato wa masuala ya uhusiano wa kimataifa kolinda grabar kitarović amechaguliwa kuwa rais wa kwanza mwanamke wa nchi ya croatia, kwa kumshinda rais aliyemaliza muda wake katika uchaguzi wa kwanza kabisa mara baada ya nchi hii ndogo ya ulaya ya kusini kujiunga na jumuia ya umoja wa ulaya mapema mwaka jana.

英語

former nato assistant secretary general for public diplomacy kolinda grabar kitarović has been elected croatia's first woman president, defeating the incumbent president in the first presidential elections since the small southeastern european country joined the european union last year.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kiel kinacotokea leo burundi ni mapaki ya kile kilichotokea mwishoni mwa mwaka jana nchini burkina faso, wakati mkuu wa nchi aliyetawala muda mrefu blaise compaore alipong'olewa madarakani na jeshi baada ya kutangaza dhamira yake ya kugombea tena kipindi kingine cha utawala.

英語

what’s happening today in burundi is reminiscent of what took place late last year in burkina faso, when long-time head of state blaise compaore was deposed by the military after declaring his intention to run for yet another term.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mwaka huu ulikuwa ulimwengu mzuri zaidi kuliko mwaka jana kwa sababu tu nilichagua kusherekea na majirani zangu (ambao kwa kweli wamekuwa familia yangu hapa) na familia yao kubwa, ambayo ni ya watu wenye bashasha na wa ajabu sana.

英語

this year was worlds better than last year simply because i chose to celebrate it with my neighbors (who have really become my family here) and their entire extended family, which is a hilarious and wonderful group of people.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lugha ya ki-manx katika kisiwa cha man ilitoweka mwaka 1974 wakati ned maddrell, mzungumzaji pekee wa lugha hiyo alipofariki wakati lugha ya ki-eyak huko alaska marekani, ilikumbana na maangamizi mwaka jana kilipotokea kifo cha marie smith jones.

英語

the language of manx in the isle of man died out in 1974 when ned maddrell, the last speaker, passed away while eyak, in alaska, united states, met its demise last year with the death of marie smith jones.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,734,113,850 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK