検索ワード: tafsiri methali ya wiki (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

tafsiri methali ya wiki

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

methali ya elimu ni taa

英語

an educational proverb is a lamp

最終更新: 2022-01-30
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mkutano wowote bila chakula ufanyike methali ya luhya mkondoni

英語

any meeting without food should be done online

最終更新: 2021-10-05
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mtu atumiaye nguvu anaogopa kutumia akili. ~methali ya ki-kenya.

英語

a man who uses force is afraid of reasoning. ~kenyan proverb.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hajapata hata likizo ya wiki moja kutoka gerezani kuja nyumbani ...

英語

he had not got even one week vacation out of prison to come home...

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

anajiuliza ni nini kitatokea ikiwa malengo ya operesheni hii maaalum hayatafikiwa mara baada ya wiki sita kumalizika:

英語

he wonders what will happen if the objectives of the special operation are not met after six weeks:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

matukio ya wiki hii yanashuhudia kwamba mazingira ya kisiasa nchini sudan kusini bado yana uwezekano wa kusababisha kushirikishwa kwa wanajeshi.

英語

the political environment in south sudan, as the events of this week testify, remains vulnerable to the mobilisation of armed force.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

jambo la kujiuliza ni kuwa, nini kitatokea ikiwa malengo ya operesheni hii hayatakuwa yamekamilika mara baada ya wiki sita kuisha.

英語

the question is what will happen if the objectives of the operation are deemed not to have been accomplished at this time.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

bloga a syrian in london anaorodhesha matukio ya wiki chache zilizopita wakati wa mashambulizi ya israeli, halafu anaeleza:

英語

a syrian in london shares a timeline of the past few weeks of israel's attacks, then remarks:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

moyosore ayodele anajiuliza ni kwa namna gani boko haram wanaweza kudhibitiwa ndani ya wiki sita ikiwa ni baaada ya kuendesha matukio ya kigaidi kwa miaka sita:

英語

moyosore ayodele also wonders how boko haram can be defeated in six weeks after terrorising the country for six years:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

wanachama wa programu hiyo pia wamekuwa wakishiriki katika mradi wa video ya dakika moja, ambao kwao wanajifunza kuhusu uanaharakati wa video wakati wa warsha ya wiki moja.

英語

the members of their program have also been participating in the one minute video project, where they learn about video activism during a one-week workshop.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ubia wa kuleta mabadiliko umetoa tamko linalowataka mwai kibaki na raila odinga kushirikiana na mahakama ya kimataifa ya jinai na kuhakikisha muswada wa tume maalum unapitishwa nchini kenya na kurasimishwa kama sheria ndani ya wiki mbili.

英語

the partnership for change has issued a statement calling for mwai kibaki and raila odinga to cooperate with the international criminal court and ensure the special tribunal bill in kenya is passed and enacted into law within two weeks.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwenye mashamba makubwa, magari huwachukua watoto kutoka majumbani kwao na kuwapeleka kujenga mahema karibu na maeneo ya miji na kasha huishi humo wakifanya kazi kwa vipindi vya kati ya wiki mbili hadi mwezi mmoja na bila ya kuwa na wazazi wao.

英語

in plantations, trucks pick children up from their homes and bring them to makeshift tents located in nearby provinces to stay and work for periods lasting from two weeks to a month without their parents.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hata hivyo, imeripotiwa kwamba watu wanaweza kubeba virusi hivi bila dalili kwa muda zaidi ya wiki mbili na wagonjwa waliopona walioruhusiwa kurudi nyumbani wanaweza kubeba virusi hivi tena, jambo linalotoa tahadhari la kuongezwa kwa muda wa karantini.

英語

however, it has been reported that people can carry the virus without symptoms longer than two weeks and cured patients discharged from hospitals can carry the virus again, which sends out an alarm to increase the time for quarantine.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ikianzia ilikoishia blogu ya zamani nzuri (na sasa imefungiwa) tokyo confidential, tokyo reporter inatoa mhutasari wa habari zinazoandikwa na magazeti ya wiki yanayoandikwa nchini japani.

英語

taking up where the late, great (and now-banned) tokyo confidential left off, tokyo reporter provides a regular round-up of the sleazy, sensational stories of japan's tawdry weekly tabloids.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mwenyekiti wa tume ya uchaguzi, attahiru jega alisema kuwa jeshi litaendesha operesheni ya wiki sita dhidi ya boko haram ili "kuepusha kuingiliwa na masuala ya uchaguzi" serikaliimejinadi kulifutilia mbali kundi hili ndani ya wiki sita.

英語

the chairman of the election commission attahiru jega said that security forces would be conducting a six-week special operation against boko haram so "they would rather not be distracted by the elections." the government has vowed to finish off the group in six weeks.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

"baada ya kushuhudia kibinafsi ukosefu wa haki kwa watu wa palestina katika maeneo yaliyonyakuliwa na israeli, ni kwa huzuni kubwa na kusikitishwa kwamba sisi - waandishi wa kimataifa na wasanii tuliotia saini hapa chini - twakumbuka idhini ya benjamin netanyahu ya wiki hii ya vitengo vingine vipya vya makazi haramu 1500 katika ukanda wa magharibi.

英語

"having personally witnessed the injustice visited upon the palestinian people in the territories occupied by israel, it is with the utmost sadness and dismay that we - the undersigned international authors and artists - note benjamin netanyahu's approval this week of yet another 1,500 new illegal settlements units in the west bank.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,732,886,701 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK