検索ワード: tangu na tangu (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

tangu na tangu

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

na tangu wakati huo yuda akawa anatafuta nafasi ya kumsaliti.

英語

and from that time he sought opportunity to betray him.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

baadae aliachiliwa huru mnamo septemba 19 na tangu wakati huo anaishi nje ya nchi.

英語

she was released from jail on september 19 and has since left the country.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hakuna mtu yeyote aliyeweza kumjibu neno. na tangu siku hiyo hakuna aliyethubutu tena kumwuliza swali.

英語

and no man was able to answer him a word, neither durst any man from that day forth ask him any more questions.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wamisri pembezoni wenye mahitaji maalum wamekuwa wakifanya maandamano kwa haki zao kabla na tangu mapinduzi ya #jan25.

英語

marginalized egyptians with special needs have been protesting for their rights both before and since the #jan25 revolution.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

na tangu sasa, jamaa ya watu watano itagawanyika; watatu dhidi ya wawili, na wawili dhidi ya watatu.

英語

for from henceforth there shall be five in one house divided, three against two, and two against three.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

video hiyo ilipatikana kwa juhudi za gazeti la lifenews, na tangu wakati huo imekuwa ikisambaa mno kwenye mitandao ya kijamii nchini urusi.

英語

the video was acquired by the tabloid lifenews, and has since spread widely on the runet.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wakati futuzo la uchumi lilipopasuka mwanzoni mwa miaka ya 90 udhaifu uliopo kwenye mfumo wa kijapani ulionekana na tangu hapo wataalamu wengi wanasema kuwa nchi haijapona kutoka kwenye hali mbaya ya uchumi.

英語

when the economic bubble burst in the early 90s it revealed the weaknesses in the japanese system and since then many experts say the country has never completely recovered from recession.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

alama ya twita ya #walk2work imekuwa ikitumika kutoa taarifa juu ya kampeni hiyo na tangu kukamatwa kwake asubuhi, ujumbe wa twita umekuwa ukija na taarifa mpya mbalimbali pamoja na maoni

英語

the twitter hashtag #walk2work has been used to report on the campaign and from the time of his arrest in the morning, tweets were coming with different updates and opinions.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

nilipokuwa mwanafunzi niliripoti kuhusu madagaska, na tangu wakati huo imekuwa ni ndoto yangu kubwa kwenda kule watu (malagasi) wanaishi na kutembea kila siku kwenye barabara, wakiishi maisha ya kawaida, na bado wanafuraha.

英語

when i was a student i did a report on madagascar, and ever since then it was my biggest dream to go there the (malagasy) people live and get by every day walking in the roads, living this super simple life, and they're still happy.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

huyo mwanamke akamjibu, "mheshimiwa, hakuna hata mmoja!" naye yesu akamwambia, "wala mimi sikuhukumu. nenda zako; na tangu sasa usitende dhambi tena."

英語

she said, no man, lord. and jesus said unto her, neither do i condemn thee: go, and sin no more.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

walipompinga na kuanza kumtukana, aliyakung'uta mavazi yake mbele yao akisema, "mkipotea ni shauri lenu wenyewe; mimi sina lawama yoyote juu ya jambo hilo. na tangu sasa nitawaendea watu na mataifa mengine."

英語

and when they opposed themselves, and blasphemed, he shook his raiment, and said unto them, your blood be upon your own heads; i am clean: from henceforth i will go unto the gentiles.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

関係性の低い人による翻訳は非表示になります。
関係性の低い結果を表示します。

人による翻訳を得て
7,768,964,720 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK