検索ワード: ugomvi (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

ugomvi

英語

lineage

最終更新: 2020-10-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ugomvi wa ndani ya nyumba - 900

英語

domestic violence - 900

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

baada ya mabishano machungu na ugomvi

英語

after the bitter arguments and fighting

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ila tusimlaumu lulu kwani ugomvi katika mapenzi unatokea.

英語

r.i.p our beloved kanumba.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

suluhisho za ugomvi: kwa unyenyekevu, kuwa sawa na mungu.

英語

the solutions for strife: in humility, get right with god.

最終更新: 2021-04-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

algeria-misri: ugomvi juu ya pambano la mpira kwenye mtandao

英語

algeria-egypt: online feud over football match · global voices

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

basi, ukipeleka sadaka yako mbele ya madhabahu na hapo ukakumbuka kwamba ndugu yako ana ugomvi nawe,

英語

therefore if thou bring thy gift to the altar, and there rememberest that thy brother hath ought against thee;

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

lugha chafu, matusi, ugomvi, fitina, kupiga/ kupigana ni mwiko kwa mwanafunzi

英語

foul language

最終更新: 2021-09-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ugomvi mdogo ulizuka, ambao kwa mujibu wa mashahidi, ulisababisha mlinzi kufyatua risasi ambayo iliwapiga wanafunzi watatu.

英語

a brief commotion ensued, which, according to eyewitnesses, compelled the guard to fire the bullet that hit the three students.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

lakini jiepushe na ubishi wa kipumbavu, ugomvi na mabishano juu ya sheria. mambo hayo hayana faida yoyote na ni ya bure tu.

英語

but avoid foolish questions, and genealogies, and contentions, and strivings about the law; for they are unprofitable and vain.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mwenendo wetu uwe wa adabu kama inavyostahili wakati wa mchana; tusiwe na ulafi na ulevi, uchafu na uasherati, ugomvi na wivu.

英語

let us walk honestly, as in the day; not in rioting and drunkenness, not in chambering and wantonness, not in strife and envying.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

wakulima weupe pote afrika kusini bado wapo chini ya mashambulizi, sasa mmoja wa makaburu anayefahamika sana ameuawa katika shamba lake mwenyewe kutokana na ugomvi wa malipo ya mshahara kama inavyodaiwa.

英語

white farmers all over south africa are still under attack, now one of the biggest known boers have been murdered on his own farm because of a wage dispute allegedly.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ulimwengu wa blogu nchini india na pakistani umewaka kwa mitazamo na midahalo, wengine wanafikiri kuwa hii ni ishara ya amani inayokuja wakati wengine wanasema kuwa ndoa hii ni chanzo cha ugomvi wa baadaye.

英語

the blogsphere in india and pakistan have literally lit up with views and debates, some think its a sign of peace to come while others cite this marriage as a source for future acrimony.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

waambie waja wangu waseme maneno mazuri, maana shet'ani huchochea ugomvi baina yao. hakika shet'ani ni adui aliye dhaahiri kwa mwanaadamu.

英語

and say to my servants (that) they speak that which is best; surely the shaitan sows dissensions among them; surely the shaitan is an open enemy to man.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

koaci.com aliye na maskani yake huko ivory coast aligundua kuwa msichana wa ivory coast alikutwa na mauti kwa kile kinachosadikiwa kuwa alitupwa kutoka ghorofa ya 6 kutokana na ugomvi kati yake na mwajiri wake, ugomvi unaosadikiwa kusababishwa na mwajiri wa msichana huyo kutokumpa mishahara yake.

英語

ivory coast-based koaci.com has learned that a young ivorian woman was found dead after having been reportedly pushed off the 6th floor of an apartment following a suspected feud with her sponsor concerning her salary payment.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

wiki iliyopita, umoja wa mataifa ulitoa taarifa mpya ya idadi ya vifo inayofikia zaidi ya watu 191,000. vifo hivi vinatokana na ugomvi uliopo baina ya vikosi vya wanajeshi vinavyomtii rais bashar al-assad na vikundi vinavyopinga uongozi wake.

英語

just last week, the united nations revised its death toll for the bloody conflict between forces loyal to president bashar al-assad and the factions that are opposed to his rule to more than 191,000.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

walikutana na mdaiwa 2014 na kuishi pamoja ugomvi umeanza mwaka 2019 mdaiwa ana mwanamke mwingine mja mzito su1 akamfukuza sm1 kwenye nyumba ya jeshi ili aishi na mwanamke huyo. sm1 sm1 aliamua kwenda kazini kwa su1 kushitaki , hawana mali ila wana ari moja ambapo su1 ambalo su1 anakatwa kwenye mshahara wake akijibu hoja za mahakama sm1 alisema gari analo tja ni mark x walinunua show rom namba t 421 dfp cour black analo sm1 halikuwa na dosari sm1 sm1 akatumia 280,000.00 kulitengeneza.

英語

最終更新: 2020-05-26
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,763,315,315 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK