検索ワード: unaojulikana (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

unaojulikana

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

vyama vilitumia kila ujanja unaojulikana na usiojulikana ili kuwafikisha watu vituoni.

英語

parties tried every trick known and unknown to get people to these centres.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kijana akiigiza mkao unaojulikana kama pk, kupinga muswada huo wakati wa mkutano.

英語

a young man assumes the so-called pk body position, otherwise known as planking, against the bill during the rally.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kamera hizo tatu zilikuwa zikirekodi mapya katika mlolongo wa programu yake inayorushwa katika mkondo maalum kwenye youtube, unaojulikana vyema kama vlog.

英語

the three cameras were recording the latest episode of her program that is broadcasted on a special channel on youtube, better known as a vlog.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

utafiti unaojulikana kama colcorona, unaandikisha watu wazima 6000 wenye unmri wa miaka 40 na zaidi ambao wamegunduliwa kuwa na ugonjwa wa covid-19 na wanaonyesha dalili zisizo kali na hawahitaji kulazwa hospitalini.

英語

the study, named colcorona, is recruiting 6000 adults aged 40 and over who were diagnosed with covid-19 and experience mild symptoms not requiring hospitalization.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

vikwazo hivyo pia vinakuja katika kipindi ambapo shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu na idara ya serikali ya marekani ambazo kwa pamoja huweka kumbukumbu ya matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu na biashara haramu inayoendelea ya usafirishaji kuvuka mipaka ya kimataifa ya mti adimu unaojulikana kama rosewood kutoka misitu ya nchi hiyo ya madagaska.

英語

they also come on the heel of reports by amnesty international and the us state department that document multiple human rights violations and ongoing illegal international trafficking of precious rosewood from madagascar rain forests.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

israel hivi sasa inafarijika kwamba ni ukweli unaojulikana kuwa kila mmoja katika kanda anataka irani ishughulikiwe na wapo upande wao, na kwamba ushirika wa sunni-israel hivi sasa umehakikishwa kuwa ni wa kweli na kwamba unawajumuisha wachezaji wote wa kisunni katika kanda hiyo.

英語

israel must be relishing that its public knowledge now that everyone in the region wants iran dealt and is on their side, and that the sunni-israeli alliance is now proven to be both real and inclusive of

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

siyo tu "ukuta mkuu wa moto wa uchina" unaojulikana na watu wengi, nchi ya kidemokrasia kama vile thailand pia inazuia idadi kubwa ya tovuti; nchini vietnam, wizara yake ya habari na mawasiliano hivi karibuni ilitoa tamko la kusimamia na kutekeleza taratibu za kublogu nchini humo tangu mwishoni mwa mwaka 2008.

英語

not only the "great firewall of china" that is known to many people, democratic country like thailand also blocks a large number of web sites; in vietnam, its ministry of information and communication has recently released a circular to regulate and enforce blogging rules in the country in late 2008.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,762,948,181 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK