検索ワード: ushindani (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

ushindani

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

utabiri wa kwanza ulikuwa kwamba ushindani ungelikuwa wa karibu sana.

英語

first was the suggestion that the presidential contest would be very close.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

matangazo yanayowanadi wagombea yanaweza kutubashiria ushindani ni mkubwa wakati huu.

英語

the hype that is there perhaps suggests that this time around the contest is high.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

katika mifano mingi, mpira wa miguu ulichimbua ushindani wa kitaifa.

英語

in many instances, the football matched unearthed national rivalries.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

uchaguzi mkuu wa 2009 utakuwa kati ya chaguzi zile zinazoonekana kuwa na ushindani mzito.

英語

according to blogger eric chilenje, the 2009 elections in malawi will be heavily contested:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

uchaguzi mkuu wa mwaka huu katika malawi umekuwa mmoja ya chaguzi zenye ushindani wa karibu sana.

英語

this year's general elections in malawi have been one of the most closely contested.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kuwa kituo cha mafunzo chenye ushindani wa kitaifa kwa ajili ya kutoa maarifa ya kiufundi na ujuzi kwa maendeleo endelevu

英語

to be a nationally competitive training centre for imparting technical knowledge and skills for sustainable development

最終更新: 2021-11-13
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

fungueni masoko kwa ushindani na biashara za faida na mtaona uwekezaji mkubwa na matokeo yake huduma hiyo itaongezeka kuwafikia watu wengi zaidi.

英語

open up the markets to competition and profits and you will see large-scale investments and significantly improved access.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

namna mojawapo wa kuendelea kushikilia nafasi hii katika wakati huu ambao dunia si salama na iliyo na ushindani mkubwa wa kiuchumi na kiutamaduni ni kwa kuweka mbele utu.

英語

one way to retain and strengthen it in the face of insecure world and a deepening economic and cultural competition is to project it for the good of humanity.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

baada ya chaguzi zilizokuwa na changamoto na ushindani mkubwa katika muongo uliopita, venezuela itaongeza miaka mingine sita kwa utawala wa hugo chávez frías ulioanza mwaka 1999.

英語

after the most contested and intense elections of the last decade, venezuela will add six more years to the administration that began in 1999 with hugo chávez frías.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

dhamira ya evgenya chirikova kuwa meya katika kitongoji cha khimki jijini moscow ndiyo ilionyesha ushindani ambapo wapinzani waliungana pamoja, wakipata michango ya fedha na watu wa kujitolea kufanya kampeni.

英語

evgenya chirikova’s bid for mayor in the moscow suburb of khimki was the only race where the movement came together in a meaningful way, marshaling significant donations and campaign volunteers.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa kuzingatia uchaguzi huu ulio na ushindani mkubwa unaotarajiwa kufanyika mei 11, 2013, siku chache zijazo, kuanguka ghafla kwa khan kunatokea wakati wa harakati za mwisho za kampeni.

英語

with the country's hotly contested elections on may 11, 2013 only days away, khan's dramatic fall comes during the final campaign push.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ndani ya nchi hii kubwa iliyogawanyika katika vitongoji visivyo rahisi kuvifikia, haingekuwa jambo rahisi kutatua matatizo yote ya rushwa, uzembe, ushindani wa kikabila pamoja na ushindani wa kutaka ukubwa.

英語

with the huge country split into myriad, inaccessible local enclaves, it was never going to be easy to resolve all the problems of corruption, mismanagement, inter-ethnic rivalries and power struggles.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

uchaguzi mkuu wa octoba 25 nchini tanzania utakuwa na ushindani mkali kuliko uchaguzi mwingine wowote uliowahi kufanyika katika historia ya nchi hiyo baada ya waziri mkuu mstaafu na mwenye umaarufu mkubwa, edward lowassa kuachana na chama tawala na kujiunga na umoja wa vyama vya upinzani.

英語

tanzania's october 25 general election will be the most tightly contested election in the country's history after hugely popular former prime minister, edward lowassa, defected from the ruling party to join the main opposition bloc.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mwanzoni mwa kampeni za urais, mmoja wapo ya vituo vya televisheni vya taifa, telma kilidai kuwa kilikumbana na hali ya kutokuwa na fursa sawa ya kupata habari na ushindani usio wa haki katika soko la habari, hali ambayo kituo hicho kinasema imesababishwa na serikali.

英語

at the start of the presidential campaign, one of the country's national television stations, telma, claimed that it faced unequal access to information and unfair competition in the media market and blamed this on the government.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

chama kinachotawala nchini tanzania, chama cha mapinduzii (ccm), kwa miaka kadhaa iliyopita kimekuwa kikipata ushindani unaoendelea kukua siku kwa siku kutoka kwenye vyama vya upinzani nchini humo.

英語

tanzania's ruling party, chama cha mapinduzi (ccm), over the past few years increasingly has confronted the growing influence of opposition parties.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

david larousserie anaonyesha bashiri yake kuwa tafiti za sayansi nchini ufaransa zina ushindani lakini hazileti tija vya kutosha, katika makala yake yenye kichwa cha habari "uwezeshaji usioridhisha wa fedha kwa ajili ya tafiti za umma" :

英語

david larousserie puts forward the premise that scientific research in france is competitive but brings little return, in an article entitled "the limited efficacy of public research funding" :

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,762,437,602 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK