検索ワード: vichache (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

vichache

英語

a few

最終更新: 2021-10-31
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

vyombo vichache vya habari vya kimataifa vinatilia maanani hali ilivyo hapa.

英語

few international media outlets pay attention to the situation here.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

walikuwa pia na visamaki vichache. yesu akavibariki, akaamuru vigawiwe watu vilevile.

英語

and they had a few small fishes: and he blessed, and commanded to set them also before them.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ndani ya irani, ni vyombo vichache mno vya habari vyenye tovuti ambazo zina safu kama hiyo.

英語

inside iran very, very few mainstream news sites have such a section.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kufunika na kunyonya gesi iliyotengenezwa kwenda kwenye mtungi wa kuhifadhia ni rahisi na matumizi baada ya hapo yanahitaji vifaa vichache vya kuokoteza.

英語

capping this and drawing of the produced gas into a holding tank is simple and usage after that needs again fairly minimalist hardware that can be jury-rigged together.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ijapokuwa ugonjwa ulianzia china kuu, umeenea duniani kote na china ina visa na vifo vichache vilivyodhibitishwa ikilinganishwa na nchi nyingine kadhaa.

英語

though the disease started in mainland china, it has spread around the world and china has fewer confirmed cases and deaths than several other countries.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

lakini vyombo vya habari vya afrika magharibi, ukiacha vichache, vimekuwa vikipotea kuanzia siku ya ijumaa mchana, na kuzinduka muda wowote siku za jumatatu.

英語

but the west african media, with a few exceptions, go into hibernation on friday afternoons and revive sometime the following monday.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

baadhi ya wananchi wa tunisia wameamua kufanya maamuzi ya makusudi ya kutokupiga kura, wakati wengine wakiamua kuelekeza kura zao kwa vyama vichache vyenye nguvu za kisiasa ambao wanaonekana kuzoa kura nyingi.

英語

some tunisians have made the deliberate choice of not voting, while others have decided to concentrate their votes on a few political forces and alliances that are deemed capable of amassing a majority of ballots.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katika maeneo mengi ya kurdistan, kumekuwa na maandamano ya mshikamano lakini licha ya tahadhari zilizotolewa mgomo wa kutokula umepenya katika mikoa ya kikurdi, na kwa kweli kuna vyombo vya habari vikuu vichache vinavyoripoti kuhusu mgomo huo wa kutokula.

英語

in much of kurdistan, there has been solidarity protests but despite the attention the hunger strikes have received within kurdish regions, there are few mainstream media outlets reporting on the hunger strike.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mwanafunzi kutoka amerika anayependa afrika, karen killenberg, alikusanya vichapisho vichache alivyovipenda kuhusu jinsi watu wanavyopenda afrika, na pia anamanukuu mwanablogu tatenda muranda katika twitter kuhusu sababu zake za kuandika:

英語

american student and afrophile karen kilberg collected a few of her favorite posts about the meme, and also quotes african blogger tatenda muranda on twitter as to why she wrote the post:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

jaji mkuu mstaafu, waziri wa zamani wa wizara ya miundo mbinu, hivi sasa akifahamika kama mmiliki wa vibilioni vichache , bw andrew chenge alinaswa na kamera za bunge( cctv) siku chache zilizopita muda wa usiku katika ukumbi wa bunge akifanya jambo lililotiliwa mashaka makubwa.

英語

what hon. joseph mbilinyi has done gives a really negative image of chadema and tanzanians as a whole. over on the blogosphere, a video clip from the television channel itv made the rounds, immortalizing the incident for eternity. via gongamx:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,755,306,261 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK