検索ワード: waanzilishi (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

waanzilishi

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

waanzilishi wa revista ocas walifuata mfano huo nchini brazili kwa kuunda nafasi za kazi kwa watu walio katika hali ya hatari kijamii.

英語

the founders of revista ocas followed this example in brazil by creating work opportunities for people who are at social risk.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

"lengo la shindano hilo la miradi mipya ni kuwaunganisha waanzilishi wa biashara hizo na wawekezaji na wadau wengine" kupitia ukurasa wa facebook wa tukio hilo kwa ruhusa

英語

"the objective of the start up cup is to connect founders with business investors and vcs." via the facebook page of the event with permission

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

ambaye ni mwanablogu wa jordan na mmoja wa waanzilishi wa 7iber, naseem tarawnah ataka kuwepo kwa mjadala wa kitaifa, kwa hofu ya kutokujua mustakabali wa jordan siku za usoni ikiwa mambo kama haya hayatachukuliwa kwa uzito wake:

英語

jordanian blogger and co-founder of 7iber, naseem tarawnah calls for a national conversation, fearing a dark road ahead of jordan if concerns are not addressed appropriately:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hamasa ya atnaf ya kujihusisha na uelimishaji wa jamii na kuvutiwa kwake kusambaza taarifa kwa raia ili kuwafahamisha kile katiba ya nchi inachokizungumzia kuhusiana ha haki na uhuru wao ilimfanya yeye kuwa mmoja wa waanzilishi wa blogu ya zone9: hamasa yake ya kuwa mwanaharakati wa haki za binadamu ilichochea yeye kuwa mmoja wa waanzilishi wa asasi ya zone9.

英語

atnaf's passion for civic engagement and interest in disseminating information to citizens to understand what the constitution says about their right and freedom led him to co-found the zone9 blog: his passion for human rights activism ignited the interest to co-found the organisation.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hapo awali mwezi machi, wanaharakati wengine wawili mashuhuri wa haki za binadamu na waanzilishi wa acpra walikutwa na hatia na kuhukumiwa kifungo cha mpaka miaka 10 na 11 jela kwa "kuvunja kiapo cha utii kwa kiongozi na mrithi wake" na "kujaribu kuzorotesha maendeleo ya nchi".

英語

back in march, two other prominent human rights activists and co-founders of acpra were found guilty and sentenced to 10 and 11 years in jail for “breaking allegiance to the ruler and his successor” and “trying to impede the country’s developments”.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,765,572,710 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK