検索ワード: walioandikishwa (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

walioandikishwa

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

katika tangazo lililotolewa na mpango wa umoja wa mataifa nchini iran, serikali ya iran itawaingiza wakimbizi wote walioandikishwa kwenye mpango wake wa bima ya salamat.

英語

in an announcement from the united nation mission in iran, the iranian government will include all of its registered refugees into its salamat insurance scheme.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hivi sasa tunatayarisha tovuti ya mafunzo kwa ajili ya waandishi wa kiraia, tovuti ambayo itakuwa ni kwa ajili ya wanamtandao wetu na kwa ajili ya watumiaji maalum walioandikishwa.

英語

in fact, we are currently working on a special training site for citizen journalism which will be for our network and for registered users.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mpango huu utawanufaisha wakimbizi zote walioandikishwa, ambao watapata huduma za bima ya afya kwa 'kulazwa na matibabu', kama ilivyo kwa raia wa nchi hiyo.

英語

the program will be available to all registered refugees, who will receive access to a health insurance package for "hospitalization and temporary hospitalization", as available to iranian nationals.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

chama cha rdp na vyama vingine vya upinzani viliitisha mkutano na waandishi wa habari mchana wa jumamosi vikidai uwepo wa mlolongo wa kasoro zikijumuisha wino usifutika ambao haukufanya kazi, karatasi za kupigia kura ambazo hazikuwa na muhuri rasmi, na daftari la wapiga kura linalobadilika kila wakati (ambalo lina toleo jipya lenye tarakimu tofauti ya idadi ya wapigakura walioandikishwa).

英語

the rdp and several other opposition parties held a press conference on saturday afternoon alleging a string of irregularities including indelible ink that didn't work, ballot papers that did not have the official stamp, and the ever-changing voters register (of which there is a new version with yet another figure for the number of registered voters).

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,770,552,245 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK