検索ワード: waliuawa (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

waliuawa

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

kwa kiasi kikubwa watu hawa waliuawa wakati wakielekea kuandamana.

英語

for the most part these people were killed while they were advancing to protest.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa mwaka huu peke yake, wanablogu watatu waliuawa mbele ya hadhara.

英語

this year alone, three bloggers have been assassinated in public.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mara ya mwisho israeli kuivamia gaza, wa-palestina 1,387 waliuawa.

英語

773 were civilians, including 320 children and 109 women.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

inakadiriwa kuwa sehemu moja ya sita ya idadi ya raia wa nchi hiyo waliuawa ndani ya majuma kadhaa.

英語

around one-sixth of the country's total population was killed in a matter of weeks.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hippolyte donossio anaripoti kuwa watu 150 waliuawa na maelfu ya nyumba kuteketezwa na waasi mwishoni mwa wiki.

英語

hippolyte donossio reports that 150 people were killed and thousands of homes were burnt by the rebels during the week-end.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

karibu watu 250,000 waliuawa wakati wa vita, na malaki kadhaa walikimbilia nchi jirani au ulaya na marekani kama wakimbizi.

英語

nearly 250,000 people were killed during the war, and several hundred thousand were exiled in neighboring countries or in europe or the united states.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mwezi juni, waandishi wawili wa vgtrk waliuawa karibu na luhansk baada ya kuunguzwa kwa moto wakiwa na waasi wa maeneo hayo.

英語

in june, two vgtrk journalists were killed near luhansk after coming under mortar fire while embedded with local rebels.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mnamo tarehe 7 aprili, maadhimisho yalifanyika katika mji mkuu wa kigali, na pia katika mji wa nyanza, ambapo watu wapatao 5000 waliuawa kinyama.

英語

on the 7th of april ceremonies were held in the capital kigali, and in nyanza, where more than 5,000 people were slaughtered.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

katika maasi hayo ya mwanzo, zaidi ya makabaila 100 wa kijerumani na askari waliuawa, lakini juhudi za kupambana na mapinduzi hayo zilikuwa za kikatili na kinyama.

英語

in an early revolt, over 100 german settlers and soldiers were killed, but the ensuing repression of the uprising was relentless and brutal.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

baada ya miaka mitatu ya kujaribu kuzima mapinduzi hayo, kadri ya watu wa kabila la waherero na wanama 10,000 waliuawa, hiyo ikiwa ni asilimia 80 na 50 ya makabila yao.

英語

over the three years it took to suppress the uprising, an estimated 65,000 hereros and 10,000 nama were killed, representing some 80% and 50% of those entire populations respectively.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

benjamin roger wa jeune afrique anaripoti kuwa wanajeshi 18, raia mmoja na magaidi wanne waliuawa mapema subuhi ya leo katika shambulio la mabomu ya kujitoa muhanga kwenye gari mjini agadez, niger tarehe 23 mei.

英語

benjamin roger for jeune afrique reports that 18 soldiers, one civilian and four terrorists were killed early morning in an suicide car bombing in agadez, niger on may 23.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mwezi novemba, watu nane waliuawa huko al ahsa, kwenye jimbo la mashariki, baada ya wanamgambo kushambulia kituo cha kijamii kinachomilikiwa na shia, mahali ambapo sherehe ya kidini ilikuwa ikiendelea.

英語

in november, eight people were killed in al ahsa, also in the eastern province, when gunmen attacked a shia community centre, where a religious ceremony was taking place.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

makumi kadhaa waliuawa mnamo agosti 16, wakati wafuasi wa udugu wa ki-islamu walipokuwa wakipambana na vikosi vya usalama katika "siku ya hasira."

英語

dozens more were killed on august 16, as muslim brotherhood supporters clashed with security forces in the "day of anger."

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

kampeni ya wanafunzi ilizinduliwa mnamo desemba 7 ili kuwakumbuka wanafunzi wote ambao hawakuweza kurudi katika vyuo vikuu vya iran kwa sababu za kidini na kisiasa: baadhi walizuiwa, wengine walifukuzwa, wengine wako magerezani na wengine waliuawa mitaani.

英語

a student campaign was launched on december 7 to remember all those students who have been unable to return to iran's universities due to religious or political reasons: some banned, others expelled, some in prison and some of them were killed on the streets.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

askari arobaini na wanne wa jeshi la polisi la ufilipino - kikosi maalum (pnp-saf) waliuawa kwenye operesheni ya kupambana na ugaidi mapambano yaliyochukua masaa 11 kati ya vikosi vya serikali na waasi wa moro wanaotaka kujitenga na wanaofanya shughuli zao kwenye eneo la mamasapano.

英語

forty-four members of the philippine national police-special action force (pnp-saf) were killed in a botched-up counter-terror operation which became an 11th-hour pitched battle between state forces and moro secessionist rebels operating in the mamasapano area.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,763,074,080 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK