検索ワード: zilitumika (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

zilitumika

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

alama kadhaa za vitabu zilitumika wakati wa tukio(picha na fernando medina)

英語

several bookmarks were shared during the event (photo fernando medina)

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

na ikiwa nguvu za ziada zilitumika na kumaanisha ubakaji ndani ya ndoa, itawachukua polisi miezi kadhaa kuchunguza.

英語

if excessive force was indeed used and tantamount to marital rape, the police may take months to investigate.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

baadhi ya watumiaji wa mtandao wa intaneti walisema kuwa, silaha halisi zilitumika dhidi ya watu katika meneo mbalimbali ya jiji.

英語

some netizens claimed that real weapons were used against people throughout the city.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

data hizi zilitumika kwa kutathmini masuala ya sasa ya covid-19 katika eu/eea na uk, kwa kuzilinganisha na za italia.

英語

these data were used for assessing the trends of covid-19 in eu/eea and the uk, and comparing them to that in italy.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa vile dozi ya juu ya dawa zinazopunguza kuchomeka kwa viungo zilitumika sana kwa wagonjwa wa hali mbaya ya sars, wengi wa wahasiriwa waliugua kutokana na ukosefu wa damu kwenye mifupa na ulemavu ya muda mrefu na hali mbaya ya maisha.

英語

since a high dosage of corticosteroids was widely used in severe sars patients, many survivors suffered from avascular osteonecrosis with life-long disability and poor life quality.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

"wafuasi wa kikroeshia walionyesha saluti ambazo zilitumika wakati wa vita kuu vya ii na harakati mabavu ya ustase," kundi la mashabiki la ufuatiliaji liliripoti kwa fifa.

英語

"croatian supporters made far-right salutes which were used during world war ii by the fascist ustase movement," fan monitoring group fare reported to fifa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

watumiaji watwitpic kardala, farrah3m na sgardinier walizituma tena kwa twita picha hizo za wanawake wanaondamana, wakati programu-tumizi za kushirikiana picha plixi and picasa pia zilitumika kwa malengo hayo hayo.

英語

twitpic users kardala, farrah3m and sgardinier retweeted some of the images of the women protesters, whilst photo-sharing applications plixi and picasa were also utilized for similar purposes.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mwitiko dhaifu unaonyesha kuwa kama kila wanandoa wataiunga mkono kampeni na kufanya ubakaji ndani ya ndoa kuwa sheria, polisi watatingwa sana mwaka mzima na hawatakuwa na muda wa kuilinda singapore salama dhidi ya jinai na ugaidi ila kuchunguza yale wanayofanya maelfu ya wanandoa kila usiku katika vitanda, kutathmini kama nguvu za ziada zilitumika dhidi ya mwanandoa mwenza.

英語

the poor response shows that if every couple supports the campaign to make marital rape into law, the police would be kept very busy throughout the year and have no time to keep singapore safe and secure from crimes and terrorism except to investigate what thousands of couple do every night on bed, to assess whether excessive force was used on the partner.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,761,891,386 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK