プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
et iniecerunt in eis manus et posuerunt eos in custodiam in crastinum erat enim iam vesper
basi, waliwatia nguvuni na kwa kuwa usiku ulikuwa umekaribia, wakawaweka chini ya ulinzi mpaka kesho yake.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
factum est autem in crastinum ut congregarentur principes eorum et seniores et scribae in hierusale
kesho yake, viongozi wa wayahudi, wazee na walimu wa sheria, walikusanyika pamoja huko yerusalemu.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
in crastinum autem turba multa quae venerat ad diem festum cum audissent quia venit iesus hierosolym
kesho yake, kundi kubwa la watu waliokuja kwenye sikukuu walisikia kuwa yesu alikuwa njiani kuja yerusalemu.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
in una autem sabbati cum convenissemus ad frangendum panem paulus disputabat eis profecturus in crastinum protraxitque sermonem usque in mediam nocte
jumamosi jioni, tulikutana ili kumega mkate. kwa vile paulo alikuwa amekusudia kuondoka kesho yake, aliwahutubia watu na kuendelea kuongea nao hadi usiku wa manane.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質: