プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
et dicet vobis nescio vos unde sitis discedite a me omnes operarii iniquitati
lakini yeye atasema: sijui ninyi mmetoka wapi; ondokeni mbele yangu, enyi nyote watenda maovu.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
his autem qui ex contentione et qui non adquiescunt veritati credunt autem iniquitati ira et indignati
lakini wale wengine wenye ubinafsi, wenye kukataa mambo ya haki na kufuata uovu, wataangukiwa na ghadhabu na hasira ya mungu.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
humanum dico propter infirmitatem carnis vestrae sicut enim exhibuistis membra vestra servire inmunditiae et iniquitati ad iniquitatem ita nunc exhibete membra vestra servire iustitiae in sanctificatione
(hapa natumia lugha ya kawaida ya watu kwa sababu ya udhaifu wenu wenyewe.) kama vile wakati fulani mlivyojitolea ninyi wenyewe kutumikia uchafu na uhalifu kwa ajili ya uovu, vivyo hivyo sasa jitoleeni nafsi zenu wenyewe kutumikia uadilifu kwa ajili ya utakatifu.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質: