プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
in pietate autem amorem fraternitatis in amore autem fraternitatis caritate
udugu katika uchaji wenu, na mapendo katika udugu wenu.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
ineptas autem et aniles fabulas devita exerce te ipsum ad pietate
lakini achana na hadithi zile zisizo za kidini na ambazo hazina maana. jizoeshe kuishi maisha ya uchaji wa mungu.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
conflictationes hominum mente corruptorum et qui veritate privati sunt existimantium quaestum esse pietate
na ubishi usio na kikomo kutoka kwa watu ambao akili zao zimeharibika, na ambao hawana tena ukweli. wanadhani dini ni njia ya kujipatia utajiri.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
pro regibus et omnibus qui in sublimitate sunt ut quietam et tranquillam vitam agamus in omni pietate et castitat
kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, ili tupate kuishi maisha ya utulivu na amani pamoja na uchaji wa mungu na mwenendo mwema.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
videns autem petrus respondit ad populum viri israhelitae quid miramini in hoc aut nos quid intuemini quasi nostra virtute aut pietate fecerimus hunc ambular
basi, petro alipowaona watu hao akawaambia, "wananchi wa israeli, kwa nini mnashangazwa na jambo hili? mbona mnatukodolea macho kana kwamba ni kwa nguvu zetu au utakatifu wetu sisi wenyewe tumemfanya mtu huyu aweze kutembea?
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています