プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
et non poterant resistere sapientiae et spiritui quo loquebatu
lakini hawakuweza kumshinda kwa sababu ya hekima yake na kwa sababu ya yule roho aliyeongoza maneno yake.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
o altitudo divitiarum sapientiae et scientiae dei quam inconprehensibilia sunt iudicia eius et investigabiles viae eiu
utajiri, hekima na elimu ya mungu ni kuu mno! huruma zake hazichunguziki, na njia zake hazieleweki! kama yasemavyo maandiko matakatifu:
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
alii quidem per spiritum datur sermo sapientiae alii autem sermo scientiae secundum eundem spiritu
roho humpa mmoja ujumbe wa hekima, na mwingine ujumbe wa elimu apendavyo roho huyohuyo.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
et ego cum venissem ad vos fratres veni non per sublimitatem sermonis aut sapientiae adnuntians vobis testimonium christ
ndugu, mimi nilipokuja kwenu sikuwahubiria siri ya ujumbe wa mungu kwa ufasaha wa lugha, au kwa hekima ya binadamu.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
quae sunt rationem quidem habentia sapientiae in superstitione et humilitate et ad non parcendum corpori non in honore aliquo ad saturitatem carni
kweli, masharti hayo yaonekana kuwa ya hekima katika namna ya ibada ya kujitakia wenyewe, unyenyekevu wa uongo na kuutendea mwili kwa ukali; lakini kwa kweli, haifai chochote kuzuia tamaa za mwili.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質: