プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
uniuscuiusque opus manifestum erit dies enim declarabit quia in igne revelabitur et uniuscuiusque opus quale sit ignis probabi
iwe iwavyo, ubora wa kazi ya kila mmoja utaonekana wakati siku ile ya kristo itakapoifichua. maana, siku hiyo itatokea na moto, na huo moto utaipima na kuonyesha ubora wake.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
et si patrem invocatis eum qui sine acceptione personarum iudicat secundum uniuscuiusque opus in timore incolatus vestri tempore conversamin
mnapomtaja mungu ninyi humwita baba. basi, jueni kwamba yeye humhukumu kila mmoja kadiri ya matendo yake, bila ubaguzi. hivyo tumieni wakati wenu uliowabakia hapa ugenini katika kumcha mungu.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
ex quo totum corpus conpactum et conexum per omnem iuncturam subministrationis secundum operationem in mensuram uniuscuiusque membri augmentum corporis facit in aedificationem sui in caritat
chini ya uongozi wake, viungo vyote vya mwili hushikamana pamoja, na mwili wote hutegemezwa kwa msaada wa viungo vyake. basi, kila kiungo kikitekeleza kazi yake ipasavyo, mwili wote hukua na kujijenga katika upendo.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質: