検索ワード: alleged (英語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

English

Swahili

情報

English

alleged

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

alleged school fees

スワヒリ語

kwa ajili ya wanafunzi tunaowadai ada ya shule

最終更新: 2022-10-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

@jenanmoussa: i am deleting the video of alleged arrest of morsi.

スワヒリ語

@jenanmoussa: ninaifuta video ya kinachodaiwa kuwa kukamatwa kwa morsi.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

the political party in power has alleged that the opposition has indulged in a conspiracy to frame them.

スワヒリ語

chama kilichopo madarakani kilidai kuwa upinzani umejihusisha katika njama za kuwateka watu kimtizamo.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

but vigilante violence and murder for alleged insults is a horrendous response and egregious violation of the laws of bangladesh.

スワヒリ語

lakini machafuko yatokanayo na kujichukulia sheria mkononi pamoja na mauaji kunakotokana na tuhuma za kukashifu ni jambo lisilovumilika kabisa na ni dhahiri kuwa ni ukiukwaji wa sheria za bangladesh.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

the church could have overlooked the real culprit for the alleged generation of sexual perverts – the mass media.

スワヒリ語

kanisa linaweza kuwa limekosea kwa kutoangalia ni nini hasa nini chanzo cha kile kinachodaiwa kuwa kizazi cha waliopotoka ki-ngono – vyombo vya habari.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

i insist that the rice pledging scheme is beneficial for the farmers and the country, and the scheme did not incur losses as alleged.

スワヒリ語

ninasisitiza kwamba mpango wa uuzaji wa mchele una manufaa kwa wakulima na nchi kwa ujumla, na mpango huo haukuleta hasara kama inavyodaiwa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

and on the day he shall call out to them and say, "where are those whom you alleged were my partners."

スワヒリ語

na siku atakapo waita na akasema: wako wapi hao mlio kuwa mkidai kuwa ni washirika wangu?

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

英語

the reason given was that the parents had been proselytizing, with no explanation of who, when, where or how this was alleged to have occurred.

スワヒリ語

sababu iliyotolewa ni kuwa wazazi hao walikuwa wanahubiri dini, bila ya ufafanuzi ni nani, na katika wakati gani, wapi na vipi madai yanayodaiwa yalitukia.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

do not be like those who offended moses, whereat allah cleared him of what they alleged, and he was distinguished in allah’s sight.

スワヒリ語

msiwe kama wale walio mtaabisha musa, lakini mwenyezi mungu akamtakasa na waliyo yasema, naye alikuwa mwenye hishima mbele ya mwenyezi mungu.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

be not as those who slandered moses, but allah proved his innocence of that which they alleged, and he was well esteemed in allah's sight.

スワヒリ語

msiwe kama wale walio mtaabisha musa, lakini mwenyezi mungu akamtakasa na waliyo yasema, naye alikuwa mwenye hishima mbele ya mwenyezi mungu.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

be not like those who annoyed musa (moses), but allah cleared him of that which they alleged, and he was honourable before allah.

スワヒリ語

msiwe kama wale walio mtaabisha musa, lakini mwenyezi mungu akamtakasa na waliyo yasema, naye alikuwa mwenye hishima mbele ya mwenyezi mungu.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

the recent assassination of a woman by the alleged father of her baby, and a promising young brazilian goalkeeper, has been on the media spotlight, shocking the country for the level of violence involved in the crime.

スワヒリ語

mauaji ya hivi karibuni ya mwanamke yaliyofanywa na aliyedaiwa kuwa baba wa mwanae, na kijana golikipa mtarajiwa wa brazil, yamekuwa kwenye vyombo vya habari, na kuishtua nchi nzima kwa kiasi cah ukatili uliofanywa kwenye ualifu huo.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

after an episode on malpractices by doctors the indian medial association claimed that he defamed the doctors and demanded apology but aamir defended his actions saying he won't apologize. it has also been alleged that aamir khan receives a high remuneration of rs.

スワヒリ語

baada ya onyesho kuhusu vitendo potofu vya madaktari, jumuiya ya madaktari wa india walilalamika kwamba walichafuliwa jina na kutaka waombwe msamaha lakini aamir alitetea hatua yakeakisisitixa kuwa hataomba msamaha.ilidaiwa kuwa aamir khan upokea malipo ya juu ya rs.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

a few days later, mgr. samuel kleda, the archbishop of douala, dismissed the alleged apparition as a hoax, but this did little to dampen the enthusiasm of the faithful who continued to throng to the home of amougui minkan.

スワヒリ語

siku chache baadae, mhashamu askofu mkuu wa douala samuel kleda, alitupilia mbali madai ya muujiza huo akiuita maigizo, lakini hata hivyo, kauli hiyo haikuwazuia watu hao kuendelea kumiminika kwenda kwenye nyumba hiyo ya amougui minkan.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

@egyptocracy: there is an false video circulating now of alleged "#morsi arrest", he was never arrested, he was under republican guard protection. #egypt

スワヒリ語

@egyptocracy: kuna video ya uongo inayosambaa sasa hivi ya kile kinachodaiwa "kukamatwa kwa morsi", hajakamatwa, alikuwa chini ya ulinzi wa nchi hiyo.#misri

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,733,191,499 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK