検索ワード: cabinet (英語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

English

Swahili

情報

English

cabinet

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

storage cabinet

スワヒリ語

kabati la kuhifadhia taarifa za ofisi

最終更新: 2018-01-01
使用頻度: 2
品質:

参照: 匿名

英語

metal tool cabinet

スワヒリ語

kabati la nguo la chuma

最終更新: 2020-05-21
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

blogger kondwani munthali has already provided his dream cabinet list.

スワヒリ語

mwanablogu kondwani munthali ameshatoa baraza lake la kufikirika la mawaziri.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

it is understood that cabinet has also lodged papers in the con court.

スワヒリ語

inasemekana kwamba baraza hilo nalo limewasilisha nyaraka katika mahakama hiyo ya mambo ya katiba.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

uganda: president's wife appointed to cabinet · global voices

スワヒリ語

uganda: mke wa rais ateuliwa kwenye baraza la mawaziri

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

february's cabinet reshuffle has ugandan bloggers making 2011 election predictions.

スワヒリ語

mabadiliko ya baraza la mawaziri yaliyofanyika mwezi februari yanawapa wanablogu wa uganda fursa ya kubashiri matokeo ya uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka 2011.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

iván's file cabinet reports that non-whites are still marginalized in cuba.

スワヒリ語

iván anaripoti kuwa watu wasio wazungu bado wanaendelea kubaguliwa nchini cuba.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

finance minister trevor manuel is among 11 cabinet ministers and three deputy ministers who have resigned.

スワヒリ語

waziri wa fedha trevor manuel ni miongoni mwa mawaziri 11 na manaibu watatu waliotangaza kujiuzulu.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

president michael sata reportedly addressing a cabinet meeting upon his return from israel where he was admitted to a hospital.

スワヒリ語

rais michael sata akisemekana kuhutubia kikao cha baraza la mawaziri mara aliporudi kutoka israel alikokuwa amelazwa hospitali.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

and what have the cabinet secretary joshua kanganja and chibiliti at the ministry of finance got to do with the printing of money?

スワヒリ語

na alichosema katibu wa baraza la mawaziri joshua kanganja na chibiliti kwenye wizara ya fedha kinahusianaje na kuchapisha noti?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

last week, the cabinet said it was considering taking legal action over the judge’s comments about political interference.

スワヒリ語

wiki iliyopita baraza la mawaziri lilitamka kwamba lilikuwa likitafakari kuchukua hatua za kisheria dhidi ya tamko hilo la jaji kuhusu uingiliaji wa kisiasa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

in the past, his administration has denied rumors by cabinet members about his declining health, maintaining that sata was fine and busy at work.

スワヒリ語

awali, serikali ilikanusha tetesi zilizokuwa zikienezwa na baadhi ya mawaziri kuhusiana na kuzorota kwa afya yake, ikisema kwamba sata alikuwa imara na akiendelea na kazi.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

the secretary to the cabinet is going and some of my ministers and state house officials are not going to nurse me, but help me think through the appointments i am making.

スワヒリ語

katibu wa baraza la mawaziri naye anaambatana na mimi na hata baadhi ya mawaziri na maafisa wa ikulu hawaendi kuniliwaza, ila kunisaidia kufikiri uteuzi ninaoufanya.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

a group of cabinet ministers appeared at a news conference on friday night to declare that vice-president joyce banda cannot succeed president bingu wa mutharika.

スワヒリ語

kundi la mawaziri lilijitokeza katika mkutano na waandishi wa habari usiku wa ijumaa na kutangaza kuwa makamu wa rais banda hataweza kumrithi rais bingu wa mutharika.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

political tensions had been on the rise since president kiir sacked his entire cabinet in july, especially his vp riek machar, whose location at the moment, is unconfirmed.

スワヒリ語

uhasama wa kisiasa ulikuwa umezidi tangu baraza zima la mawaziri, hususan makamu wa rais riek machar, lilipofutwa kazi na rais kiir mwezi julai.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

and in the spirit of promoting "volunteer participation", jokowi asked facebook users to vote and choose the 34 cabinet ministers he should include in his government.

スワヒリ語

na katika kutangaza "kushiriki katika shughuli za kujitolea", jokowi aliwaomba watumiaji wa facebook kupiga kura na kuchagua mawaziri 34 ambao wanadhani anapaswa kuwaingiza katika baraza la mawaziri la serikali yake.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

英語

and cécile kyenge, 48 years old, an eye surgeon and congo-born italian citizen, is the new minister for integration in the cabinet of prime minister enrico letta.

スワヒリ語

na cécile kyenge, mwenye umri wa miaka 48, daktari wa upasuaji macho na raia wa italia aliyezaliwa kongo, ni waziri mpya wa ushirikiano katika baraza la mawaziri la waziri mkuu enrico letta.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

chiluba’s death became a hot campaign issue for the mmd whose cadres threatened to beat sata if he attended the funeral of his once boss under whom he saved not only as cabinet minister but as the mmd’s national secretary.

スワヒリ語

kifo cha chiluba kiliondokea kuwa suala moto katika kampeni kwa chama cha mmd ambacho wanachama wake walitishia kumpiga sata ikiwa angehudhuria mazishi ya aliyewahi kuwa kiongozi wake ambaye chini yake alitumikia siyo tu kama waziri bali pia kama katibu mkuu wa mmd.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

the answer is, president kiir, who needs to bolster his own image as south sudan’s leader in light of the cabinet reshuffle, and in the run-up to elections in 2015.

スワヒリ語

jawabu ni rais kiir. ndiye mwenye hamu ya kuimarisha taswira yake kama kiongozi wa sudan kusini baada ya kulipanga upya baraza la mawaziri na katika maandalizi ya uchaguzi wa 2015.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

metal container cabinets

スワヒリ語

kabati la vyombo la chuma

最終更新: 2020-10-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,762,930,791 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK