プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
the way i have dressed over the years may have been accepted by some in my inner circles and criticized by others; this is true.
namna nilivyovaa kwa miaka yote hiyo imekuwa ikikubaliwa na baadhi ya marafiki wangu wa karibu na kukosolewa na wengine; hii ni kweli.
we think african and kenyan lives matter, this cannot fall into oblivion so we created a wechat group where very rapidly we had about 100 people who also shared the poster we made for the vigil in their own circles.
tunadhani maisha ya waafrika na wakenya yana thamani kubwa, hili haliwezi kusahaulika kiwepesi, kwa hiyo tulianzisha kundi la soga kwenye mtandao wa wechat ambapo ndani ya muda mfupi tulifikia watu 100 tuliokuwa pia tukisambaza tangazo tulilokuwa tumelitengeneza kwa ajili ya ibada yetu ya mkesha kwa watu tuliokuwa tukiwafahamu.