検索ワード: epidemic (英語 - スワヒリ語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

epidemic

スワヒリ語

gonjwa

最終更新: 2012-01-23
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

英語

how long will the epidemic last?

スワヒリ語

je, janga hili litadumu kwa muda gani?

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

英語

what is the meaning of the epidemic

スワヒリ語

nini maana ya kidaridutu

最終更新: 2020-07-05
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

the ebola epidemic is raging, causing hysteria worldwide.

スワヒリ語

mlipuko wa ebola unazidi kuenea kwa kasi, kiasi cha kuibua hofu kuu duniani kote.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

in fact, the epidemic has written a new chapter for the textbooks of that discipline.

スワヒリ語

ni dhahiri kuwa, gojwa hili la kuambukiza limeshafungua ukurasa mpya kuhusiana na masuala haya ya uhusiano wa kimataifa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

meanwhile, the epidemic rapidly spread to the neighboring cities, provinces, and countries.

スワヒリ語

kwa sasa, janga hili lilienea haraka katika miji, mikoa na nchi jirani.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

an epidemic of pig deaths would therefore present a serious economic setback for the people of wamena.

スワヒリ語

hii inamaanisha kuwa, panapotokea ugonjwa unaosababisha vifo vya nguruwe wengi, ni dhahiri kuwa pia kutakuwa na anguko kubwa lamkiuchumi miongoni mwa jamii ya watu wa wamena.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

it is difficult to develop and produce specific antibodies rapidly enough to fight against a global epidemic.

スワヒリ語

ni vigumu kuunda na kuzalisha antibodi mahususi kwa haraka zaidi ili kupambana na janga la ulimwengu mzima.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

the people of west africa, where the epidemic began, are under surveillance by international health authorities.

スワヒリ語

watu wa afrika ya magharibi, ukanda ambao gonjwa hili la mlipuko lilianzia, wako chini ya uangalizi mkali wa wataalamu wa afya wa kimataifa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

ever since the announcement of that epidemic, people denied its existence, without even trying to understand what it was.

スワヒリ語

tangu kutangazwa kwa ugonjwa huu, watu hawakuamini kuwepo kwake na bila hata ya kutaka kujua undani wa ugonjwa huu.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

the covid-19 epidemic is something that makes clear our global human interconnectedness and the responsibilities we have to one another.

スワヒリ語

janga la covid-19 ni jambo ambalo linafanya iwe wazi uhusiano wetu wa karibu wa binadamu duniani na uwajibikaji tunao wenyewe kwa wenyewe.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

a 29-nucleotide deletion characteristic of sars-covs has been found in strains isolated at the beginning of the human epidemic.

スワヒリ語

sifa ya ufutaji wa nukleotidi 29 ya sars-cov imepatikana katika sampuli zilizotengwa mwanzoni mwa janga la binadamu.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

by all accounts, the media space in liberia has been a significant partner in the fight to strengthen awareness in our society about the impact and challenges of the epidemic.

スワヒリ語

ni dhahiri kuwa, tasnia ya habari nchini liberia imekuwa moja ya mshiriki mkuu katika harakati za kutoa elimu kwa jamii kuhusiana na madhara na changamoto zitokanazo na ugonjwa huu wa kuambukiza.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

although these actions have been dramatically damaging the economy and other sectors of the country, the number of new patients is declining, indicating the slowdown of the epidemic.

スワヒリ語

ingawa hatua hizi zimekuwa zikiharibu uchumi kwa njia mbaya na sekta zingine za nchi, idadi ya wagonjwa wapya inapungua na kuashiria kupungua kwa janga hili.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

"the current count of patients treated in 10 days is 227″: real hope for haiti shares some of their experiences as they help to battle the cholera epidemic.

スワヒリ語

"idadi ya wagonjwa waliotibiwa katika siku 10 zilizopita ni 227″: matumaini ya kweli kwa haiti wanaeleza uzoefu wao wakati wanasaidia kupambana na ugonjwa wa kipindupindu.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

英語

a large study in china compared chest ct results to pcr and demonstrated that though imaging is less specific for the infection, it is faster and more sensitive, suggesting its consideration as a screening tool in epidemic areas.

スワヒリ語

uchunguzi mkubwa uchina ililinganisha matokeo ya picha ya kifua ya ct na ya pcr na kuonyesha kuwa ingawa picha za kimatibabu si maalum ya maambukizi, ni ya haraka na bora, kuonyesha kuzingatiwa kwake kama kifaa cha kuchuja watu katika maeneo ya janga.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

a comparison of the epidemic of covid-19 with that of sars and mers is provided below (fig. ​(fig.55).

スワヒリ語

ulinganisho wa janga la covid-19 na lile la sars na mers umetolewa hapa chini (picha. ​(picha.55).

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

"at what point in time did society make it an easier, more obvious and appealing choice for an impoverished population in the grips of an hiv epidemic, to buy a cell phone rather than a condom?

スワヒリ語

"katika nukta au wakati gani ambapo jamii imefanya chaguo hili kuwa rahisi, na lenye uwazi na mvuto kwa watu masikini waliobanwa na janga la vvu, kwenda kununua simu za viganjani badala ya kondomu?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

英語

as of mid-march 2020, europe is the epicenter of the epidemic, and many european countries have closed their borders to international travel - only border commuters and freight are allowed to cross.

スワヒリ語

hadi kati ya machi 2020, ulaya imekuwa kitivo cha janga hili, na nchini nyingi za ulaya zimefunga mipaka yao kwa usafiri wa kimataifa - wasafiri wa mipaka na wasafirisha mizigo pekee ndio wameruhusiwa kuvuka.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

list of epidemics and pandemics – a list of death tolls due to infectious disease

スワヒリ語

orodha ya majanga na majanga makubwa – orodha ya watu waliofariki kutokana na ugonjwa wa kuambukizana

最終更新: 2024-03-20
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,734,447,632 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK