プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
lighting
kukurupuka
最終更新: 2018-10-05
使用頻度: 1
品質:
参照:
the lighting of the xmas tree in bethlehem.
mwanga wa mti wa krismasi mjini betlehemu.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
they're lighting firecrackers literally meters from the gas cylinder depot.
wanawasha baruti karibu kabisa na ghala ya mitungi ya gesi.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
israeli aircrafts are throwing down lighting bombs or perhaps it they are lights for military purposes.
ndege za israeli zinatupa mabomu ya radi au pengine ni miangaza inayotumiwa kwa madhumuni ya kijeshi.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
bethlehem streets lighting up for christmas, tweets @maathmusleh, who shares this image on twitter
mitaa ya betlehemu inavyoangazwa kwa mwanga wa taa za krismasi, anatwiti @maathmusleh, ambaye aliweka picha hii katika mtandao wa twita
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
beautiful christmas tree lighting in bethlehem, comments @laurenbohn on twitter, as she shares this picture
mwanga mzuri wa mti wa krismasi mjini betlehemu, maoni @laurenbohn katika twita, wakati akiweka mtandaoni picha hii
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
please join us in lighting a candle in memory of those whose lives were taken and in hope for a future of peace, justice, and true reconciliation.
tafadhali unganeni nasi katika tukio la kuwasha mishumaa kwa kumbukumbu ya wale walioporwa maisha yao na kwa matumaini ya mustakabali uliojaa amani, haki na maelewano ya kweli.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
hefazot islam introduced their 13-point demand during the march on april 6, 2013 in dhaka, which would enforce capital punishment for blasphemy, make islamic education compulsory, and see the the end of "all alien cultural practices like immodesty, lewdness, misconduct, culture of free mixing of the sexes, candle lighting in the name of personal freedom and free speech."
kikundi hicho cha kiislam cha hefazot kilitangaza madai yao 13 wakati walipoandamana mnamo tarehe 6 aprili, 2013 huko dhaka, maandamano yaliyokuwa yanashinikiza adhabu kali kwa vitendo vya kukashifu dini, kuifanya elimu ya dini ya kiislam kuwa ya lazima kwa kila mtu, na kusitishwa kwa “vitendo vyote vya utamaduni usiokubalika kama vile kujipamba kupita kiasi, kuvaa kikahaba, tabia mbovu, utamaduni wa kuchangamana kwa jinsia, kuwasha mishumaa kwa kisingizio cha uhuru binafsi wa mtu na uhuru wa kuongea."
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています