検索ワード: quest (英語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

English

Swahili

情報

English

quest

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

and let thy lord be thy quest.

スワヒリ語

na mola wako mlezi ndio mshughulikie.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

quest diagnostics similarly made nationwide covid-19 testing available as of 9 march 2020.

スワヒリ語

quest diagnostics vilevile ilifanya vipimo vya covid-19 kupatikana kufikia tarehe 9 machi 2020.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

英語

what does this tell us about the quest for truth in the aftermath of this devastating attack on kenyan citizens?

スワヒリ語

je, hili linatupa ujumbe gani kuhusu utafutaji wa habari za kweli baada ya shambulio hili la kutisha dhidi ya raia wa kenya?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

back in 2005, mallika aryal at renewableenergyaccess reported on nepal's quest to generate sustainability and revenue through biogas.

スワヒリ語

tukirudi nyuma mwaka 2005, mallika aryal katika renewableenergyaccess alitoa taarifa iliyohusu jitihada za nepal kuataka kuzalisha uendelevu na faida kupitia gesi inayotokana na samadi.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

the doha centre for media freedom is joining the quest for information with the bahrain youth society for human rights which calls for the immediate release of humaidan.

スワヒリ語

kituo cha doha cha uhuru wa habari kinaungana na utafutaji wa habari unaofanywa na jamii ya vijana wa bahrain inayotetea haki za binadamu inayotoa wito wa kuachiliwa huru kwa humaidan.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

although my mother is often described as a political dissident who strives by peaceful means for democratic change, we should remember that her quest is basically spiritual.

スワヒリ語

ingawa mama yangu anaelezwa mara nyingi kama mpigania haki za kisiasa na ambaye anajaribu kwa njia za amani kuleta mabadiliko ya kidemokrasia, hatuna budi kukumbuka kwamba mapambano yake, kimsingi, ni ya kiroho.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

your lord is he who causes the ships to move onward for you across the sea, so that you may go in quest of his bounty: he is most merciful towards you.

スワヒリ語

mola wenu mlezi ndiye anaye kuendesheeni marikebu katika bahari ili mtafute katika fadhila zake. hakika yeye ni mwenye kukurehemuni nyinyi.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

he knows that there are among you those who are sick and others who are journeying in the land in quest of allah's bounty, and still others who are fighting in the cause of allah.

スワヒリ語

anajua ya kuwa baadhi yenu watakuwa wagonjwa, na wengine wanasafiri katika ardhi wakitafuta fadhila ya mwenyezi mungu, na wengine wanapigana katika njia ya mwenyezi mungu.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

during the discussion on revenue generation which most bloggers didn’t view as an incentive to their blogging quest, most admitted that despite signing up with international online advertising companies, there was very little to show for it with most eventually withdrawing from the service.

スワヒリ語

katika mjadala uliohusu upatikanaji mapato, kitu ambacho wanablogu wengi, hawakukichukulia kama kichocheo kikubwa katika kiu yao ya kublogu, wengi walikiri kwamba ingawa walikuwa wamejisajili katika makampuni ya kimataifa ya masoko ya mtandaoni, hakukuwa na kitu kikubwa kilichopatikana jambo lililowafanya wengi kujitoa katika huduma.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

and among his signs is the sleep that ye take by night and by day, and the quest that ye (make for livelihood) out of his bounty: verily in that are signs for those who hearken.

スワヒリ語

na katika ishara zake ni kulala kwenu usiku na mchana, na kutafuta kwenu fadhila zake. hakika katika haya bila ya shaka zipo ishara kwa watu wanao sikia.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,776,993,089 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK