検索ワード: so that means you cannot help me (英語 - スワヒリ語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

i cannot help you and you cannot help me.

スワヒリ語

mimi siwezi kuwa mtetezi wenu, wala nyinyi hamwezi kuwa watetezi wangu.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

i cannot help you, nor can you help me.

スワヒリ語

mimi siwezi kuwa mtetezi wenu, wala nyinyi hamwezi kuwa watetezi wangu.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

i cannot help you, nor can ye help me, lo!

スワヒリ語

mimi siwezi kuwa mtetezi wenu, wala nyinyi hamwezi kuwa watetezi wangu.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

'but what is the matter with you that you cannot help one another?,'"

スワヒリ語

mna nini? mbona hamsaidiani?

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

英語

and beside all this, between us and you there is a great gulf fixed: so that they which would pass from hence to you cannot; neither can they pass to us, that would come from thence.

スワヒリ語

licha ya hayo, kati yetu na ninyi kumewekwa shimo kubwa, ili wanaotaka kuja kwenu kutoka huku wasiweze, wala wanaotaka kutoka kwenu kuja kwetu wasiweze.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

英語

what, shall i take, other than him, gods whose intercession, if the merciful desires to afflict me, cannot help me at all, and they will never save me?

スワヒリ語

niishike miungu mingine badala yake? arrahmani, mwingi wa rehema, akinitakia madhara uombezi wa hao hautanifaa kitu, wala hawataniokoa.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

our messenger has come to you, making things clear to you—after a cessation of messengers—so that you cannot say, “no preacher has come to us, and no warner.”

スワヒリ語

bila ya shaka amekujilieni mtume wetu akikubainishieni katika wakati usio kuwa na mitume, msije mkasema: hakufika kwetu mbashiri wala mwonyaji.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

i cannot help you, nor can you help me. i deny your former act in associating me (satan) as a partner with allah (by obeying me in the life of the world).

スワヒリ語

mimi siwezi kuwa mtetezi wenu, wala nyinyi hamwezi kuwa watetezi wangu. hakika mimi nilikataa tangu zamani kunishirikisha na mwenyezi mungu.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

if their aversion (from you, o muhammad saw and from that with which you have been sent) is hard on you, (and you cannot be patient from their harm to you), then if you were able to seek a tunnel in the ground or a ladder to the sky, so that you may bring them a sign (and you cannot do it, so be patient). and had allah willed, he could have gathered them together (all) unto true guidance, so be not you one of those who are al-jahilun (the ignorant).

スワヒリ語

na ikiwa ni makubwa kwako huku kukataa kwao, basi kama unaweza kutafuta njia ya chini kwa chini ya ardhi, au ngazi kwendea mbinguni ili uwaletee ishara -- na lau kuwa mwenyezi mungu angependa angeli wakusanya kwenye uwongofu. basi usiwe miongoni mwa wasio jua.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
8,944,406,159 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK