プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
after the shock, analysis took place.
baada ya mshtuko, uchambuzi ulianza kuchukua nafasi.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
we've managed to absorb the shock of that initial attack, he said, and that is helping us get by today.
tumeweza kuhimili mshtuko wa shambulio la kwanza, alisema, na hiyo imetusaidia kustahimili hii leo.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
not that i don’t recognise mj’s contribution to music and his great talent, i would be naïve to do so, but i wonder why we no longer get the shock when we see death around the world.
si kwamba sitambui mchango wa mj katika muziki na kipaji chake kikubwa, nitakuwa mwenye welewa mdogo kwa kufanya hivyo, lakini ninashangazwa iweje hatuumizwi tunapoona vifo dunia nzima.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質: