検索ワード: transmission (英語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

English

Swahili

情報

English

transmission

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

transmission preferences

スワヒリ語

gerund

最終更新: 2014-08-15
使用頻度: 3
品質:

英語

copyright (c) the transmission project

スワヒリ語

translator-creditsabout

最終更新: 2014-08-15
使用頻度: 3
品質:

英語

virus-host interaction in relation to transmission

スワヒリ語

mwingiliano wa mbebaji virusi ukihusishwa na usambazaji

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

英語

the messenger is only responsible for clear transmission.

スワヒリ語

na si juu ya mtume ila kufikisha ujumbe waziwazi.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

globalization and disease – overview of globalization and disease transmission

スワヒリ語

umataifishaji na ugonjwa – muhtasari wa umataifishaji na usambazaji wa ugonjwa

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

英語

how is the virus genetically evolving during transmission among humans?

スワヒリ語

je, virusi hivi vinakua vipi kijenetiki kwa wakati wa kusambazwa kutoka kwa binadamu?

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

英語

don't wipe a cloth seat, as the moisture can make transmission easier.

スワヒリ語

usipanguse kiti cha kitambaa, kwa kuwa unyevu unaweza kufanya maambukizi kuwa rahisi zaidi.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

英語

airlines in affected areas are taking steps to reduce transmission and keep passengers safe.

スワヒリ語

mashirika ya ndege katika maeneo yaliyoathirika yanachukua hatua za kupunguza maambukizi na kuwaweka abiria salama.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

英語

local transmission of the disease has been recorded in most countries across all six who regions.

スワヒリ語

maambukizo ya ndani ya ugonjwa huo umeripotiwa katika nchi nyingi kwa maeneo yote sita ya who.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

英語

hcovs have to usurp host dependency factors and subvert host restriction factors for a successful interspecies transmission.

スワヒリ語

ni lazima virusi vya hcov vivamie vipengee vya utegemezi vya mbebaji virusi na kubadilisha vipengee vya uzuiaji vya mbebaji virusi ili kufanikiwa kusambaza virusi baina ya viumbe.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

英語

an hcov can undergo a dead-end infection if it cannot sustain its transmission within the intermediate host.

スワヒリ語

virusi vya hcov vinaweza kupitia maambukizi yasiyo na athari ikiwa haviwezi kudumisha usambazaji wake ndani ya mbebaji wa kati.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

英語

if it adapts well, its transmission in humans would be difficult to stop by quarantine or other infection control measures.

スワヒリ語

ikiwa virusi hivi vitazoeleka vyema, uenezi wake kwa binadamu unaweza kuwa vigumu kudhibiti kupitia karantini au hatua zingine za kudhibiti maambukizi.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

英語

emerging infectious disease – infectious disease of emerging pathogen, often novel in its outbreak range or transmission mode

スワヒリ語

ugonjwa unaoibuka wa kuambukizana – ugonjwa wa kuambukizana wa virusi vinayoibuka, mara nyingi nyingi ni mpya katika safu ya mkurupuko wako au njia ya usambazaji wake

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

英語

transmission up: %1$s %2$s down: %3$s %4$s

スワヒリ語

gerund

最終更新: 2014-08-15
使用頻度: 3
品質:

英語

in addition, cases of human-to-human transmission were reported by the ministry of health in tunisia.

スワヒリ語

kwa kuongezea, visa vya maambukizo kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine viliripotiwa na wizara ya afya huko tunisia.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

英語

however, what intermediate host helped the virus cross the species barrier to infect humans remains unknown, and the transmission route is yet to be elucidated.

スワヒリ語

hata hivyo, mbebaji wa kati aliyesaidia virusi hivi kuhamia kwa binadamu kutoka kwa kizuizi cha aina hiyo ya mnyama bado hajulikani na njia ya usambazaji wake bado haijapambanuliwa.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

英語

effective vaccines are essential for interrupting the chain of transmission from animal reservoirs and infected humans to susceptible hosts and are often complementary to antiviral treatment in the control of epidemics caused by emerging viruses.

スワヒリ語

chanjo faafu ni muhimu katika kukatiza msururu wa usambazaji kutoka kwa wanyama na binadamu walioambukizwa kwa watu walio hatarini na zinatumika pamoja na matibabu dhidi ya virusi katika kudhibiti majanga makubwa yanayosababishwa na virusi vinavyoibuka.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

英語

however, the transmission of sars-cov was considered to occur when the patients are severely ill, while most transmission did not happen at the early phase.

スワヒリ語

hata hivyo, usambazaji wa sars-cov ulizingatiwa kufanyika wakati wagonjwa ni wagonjwa vibaya sana, ingawa usambazaji mwingi haukufanyika katika awamu ya mapema.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

英語

a very huge percentage of the youth population in liberia has practically no knowledge about the transmission and prevention of hiv, and this phenomenon is due in no small part to the country’s spiralling illiteracy rate.

スワヒリ語

asilimia kubwa kabisa ya vijana nchini liberia haina ufahamu kuhusu uambukizaji na kukabiliana na vvu, na dhana hii imetokana si kwa sehemu ndogo, na kiwango kinachotisha cha ujinga (wa kutokujua kusoma na kuandika.)

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

great efforts are currently underway in china including the lockdown of wuhan and surrounding cities and continuous quarantine of almost the entire population in hopes of interrupting the transmission of sars-cov-2.

スワヒリ語

juhudi kubwa zinaendelea kwa sasa nchini china ikiwa ni pamoja na kufungwa kwa shughuli za kawaida mjini wuhan na miji iliyo karibu na kuendeleza karantini kwa karibu watu wote kwa matumaini ya kukatisha usambazaji wa sars-cov-2.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,743,000,689 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK