検索ワード: wednesday (英語 - スワヒリ語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

wednesday

スワヒリ語

jumatano

最終更新: 2021-04-15
使用頻度: 4
品質:

参照: 匿名

英語

ash wednesday

スワヒリ語

jumatano ya majivu

最終更新: 2014-03-05
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

英語

date: wednesday, may 14, 2014

スワヒリ語

tarehe: jumatano, mei 14, 2014

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

英語

i wish you a nice ash wednesday

スワヒリ語

nakutakia weekend njema pia

最終更新: 2022-03-02
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

i would like to meet you on wednesday

スワヒリ語

habari rafiki yangu

最終更新: 2020-07-13
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

final results will be released on wednesday, july 4.

スワヒリ語

matokeo ya mwisho yatatolewa mnamo jumatano, julai 4.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

other games scheduled for wednesday were still held, according to nbc news.

スワヒリ語

michezo mingine iliyoratibiwa kuchezwa jumatano bado yalisitishwa kulingana na nbc news.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

three protesters were arrested wednesday night when students occupied a budapest bridge.

スワヒリ語

waandamanaji watatu walitiwa kizuizini usiku wa jumatano siku ambayo wanafunzi walipojazana katika daraja la budapest.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

a student using a megaphone while shouting slogans at a protest in budapest on wednesday.

スワヒリ語

mwanafunzi akitumia kipaza sauti katika kutamka kauli mbiu mbalimbali wakati wa maandamano ya budapest siku ya jumatano.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

a government spokesman said on wednesday that the admission point requirements would be published before christmas .

スワヒリ語

siku ya jumatano, msemaji wa serikali alisema kuwa, vigezo vya alama wakati wa udahili vingetangazwa kabla ya sikuu ya noeli .

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

recycled toilet paper producer who gives a crap said on last wednesday they'd run out of stock.

スワヒリ語

kampuni inayotengeneza karatasi shashi kutokana na karatasi zilizotumika who gives a crap ilisema siku ya jumatano iliyopita kwamba waliuza bidhaa zao zote.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

on wednesday, a spokesperson of the cndp announced a unilateral ceasefire, although the situation on the ground in goma remains chaotic.

スワヒリ語

jumatano, msemaji wa cndp alitangaza kusitishwa kwa mapigano, japokuwa hali huko goma iliendelea kuwa kutoeleweka.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

also on wednesday, eight soldiers were killed in a roadside bombing in siirt, a southeastern turkish region bordering syria and iraq.

スワヒリ語

pia, siku ya jumatano, wanajeshi watano waliuawa kufuatia mlipuko wa bomu lililokuwa limetegwa pembezoni mwa barabara huko siirt, eneo la kusini mwa uturuki linalopakana na nchi za siria na iraki.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

a “million person march” towards the presidential palace is planned for tomorrow and a nationwide strike planned for wednesday.

スワヒリ語

“maandamano ya watu milioni moja” kuelekea kasri ya rais (ikulu) yamepangwa kufanyika kesho na mgomo wa kitaifa umepangwa kufanyika jumatano.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

c/i am a central bank college student with registration number... i was applying to take exams that i missed on tuesday and wednesday which are...

スワヒリ語

c/mimi ni mwanafunzi wa chuo cha benki kuu mwenye usajili namba... nilikuwa naomba kufanya mitihani ambayo nilikosa kuifanya siku ya jumanne na jumatano ambayo ni...

最終更新: 2024-04-17
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

according to johns hopkins university, as of wednesday, there were at least 1,279 confirmed cases of covid-19 in the united states.

スワヒリ語

kulingana na chuo kikuu cha johns hopkins, kufikia siku ya jumatano, kulikuwa na angalau visa 1,279 vilivyothibitishwa vya covid-19 nchini marekani.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

bahrain awoke to a violent crackdown by police on demonstrators camped out at the country's iconic lulu (pearl) roundabout on wednesday.

スワヒリ語

bahrain iliingia kwenye vurugu kubwa zilizoambatana na polisi kutumia nguvu dhidi ya waandamanaji waliopiga kambi katika eneo muhimu la wazi linalohusudiwa sana liitwalo lulu jumatano iliyopita.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

to further alleviate the shortage, coles ordered bigger packages from suppliers and increased delivery frequency, woolworths ordered extra stock, while aldi made stocks for a planned wednesday special available early.

スワヒリ語

ili kukabiliana na upungufu, coles waliangiza vifurushi vikubwa kutoka kwa bidha na kuongeza kwa mara ya kuwasilisha bidhaa, woolworths waliagiza bidhaa za ziada, huku aldi walitengeneza bidhaa kwa ajili ya mipango ya jumatano maalum mapema zaidi.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

residents of yaounde, cameroon’s capital city, woke up on wednesday, april 16, 2014 to the news that the image of jesus christ had appeared in a home in the odza neighborhood.

スワヒリ語

wakati wa jiji la yaounde, mji mkuu wa cameroon, siku ya jumatano ya aprili 16, 2014 waliamshwa na habari kuwa sura ya yesu kristo imetokea katika nyumba moja iliyoko mtaa wa odza.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

on wednesday, the united states' national basketball association (nba) suspended its professional basketball season due to concerns regarding covid-19.

スワヒリ語

siku ya jumatano, shirikisho la kitaifa ya mpira wa vikapu nchini marekani (nba) lilisitisha msimu wake wa mpira wa vikapu wa kitaaluma kutoka na wasiwasi uliohusiana na covid-19.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,740,682,619 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK