プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
nella destra teneva sette stelle, dalla bocca gli usciva una spada affilata a doppio taglio e il suo volto somigliava al sole quando splende in tutta la sua forza
katika mkono wake wa kulia, alikuwa na nyota saba, na kinywani mwake mlitoka upanga wenye makali kuwili. uso wake uling'aa kama jua kali.
allah è colui che vi ha creati deboli, e quindi dopo la debolezza vi ha dato la forza, e dopo la forza vi riduce alla debolezza e alla vecchiaia.
mwenyezi mungu ndiye aliye kuumbeni kutokana na udhaifu kisha akajaalia nguvu baada ya unyonge, kisha akajaalia baada ya nguvu unyonge tena na ukongwe.
gli camminerà innanzi con lo spirito e la forza di elia, per ricondurre i cuori dei padri verso i figli e i ribelli alla saggezza dei giusti e preparare al signore un popolo ben disposto»
atamtangulia bwana akiongozwa na nguvu na roho kama eliya. atawapatanisha kina baba na watoto wao; atawafanya wasiotii wawe na fikira za uadilifu, na hivyo amtayarishie bwana watu wake."