検索ワード: lago (スペイン語 - スワヒリ語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スペイン語

スワヒリ語

情報

スペイン語

lago

スワヒリ語

ziwa

最終更新: 2011-09-02
使用頻度: 2
品質:

参照: Wikipedia

スペイン語

la niña en el lago.

スワヒリ語

msichana katika ziwa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スペイン語

exploración petrolera reaviva el conflicto del lago malawi / nyasa

スワヒリ語

tanzania/malawi: utafutaji mafuta kwenye ziwa nyasa wachocheamgogoro wa umiliki

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スペイン語

vista del lago malaui/nyasa desde la isla likoma.

スワヒリ語

ziwa malawi/nyasa kutokea upande wa kisiwa cha likoma.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スペイン語

en aquellos tiempos la esperanza de encontrar petróleo en el lago era muy remota.

スワヒリ語

wakati huo hakuna aliyefikiri kuhusu uwezekano wa kuwepo kwa mafuta chini ya ziwa hilo.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スペイン語

y el que no fue hallado inscrito en el libro de la vida fue lanzado al lago de fuego

スワヒリ語

mtu yeyote ambaye jina lake halikupatikana limeandikwa katika kitabu cha uzima, alitupwa katika ziwa la moto.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スペイン語

este video muestra a suu kyi saludando a sus simpatizantes frente a su casa a orillas de un lago.

スワヒリ語

video hii inawaonyesha mashabiki wa suu kyi waliokuwa wakipunga mikono mbele ya nyumba yake iliyoko kando ya ziwa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スペイン語

la asombrosa belleza del lago kajaki en el sur de afganistán, visto desde un chinook de la real fuerza aérea.

スワヒリ語

uzuri usiomithilika wa ziwa kajaki kusini mwa afghanistani, kama unavyoonekana ukiwa juu kwa ndege ya royal air force chinnok.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スペイン語

en el lago malawi habitan 1000 especies endémicas de peces, se estima que más que en cualquier otro lugar del mundo.

スワヒリ語

ziwa malawi ni nmakazi ya aina zaidi ya 1000 za samaki. idadi hii inakadiriwa kuwa ya juu mahali pamoja kulinganisha na maeneo mengine mbalimbali duniani.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スペイン語

mientras que el gobierno de malawi reclama la propiedad exclusiva, tanzania presiona para que se reconozca su anterior propiedad de la mitad del lago.

スワヒリ語

wakati serikali ya malawi inadai kulimiliki ziwa lote peke yake, tanzania inatoa wito kwamba umiliki wa ziwa hilo uwe nusu kwa nusu, kwamba mpaka uko katikati ya ziwa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スペイン語

es el tercer lago más grande de África, después del lago tanganica en tanzania y el lago victoria, que también es en parte propiedad de tanzania.

スワヒリ語

ni la tatu kwa ukubwa barani afrika, baada ya ziwa tanganyika lililopo tanzania na ziwa victoria ambalo nalo sehemu yake kubwa inamilikiwa na tanzania.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スペイン語

y la bestia fue tomada prisionera, junto con el falso profeta que había hecho delante de ella las señales con que había engañado a los que recibieron la marca de la bestia y adoraban a su imagen. ambos fueron lanzados vivos al lago de fuego ardiendo con azufre

スワヒリ語

lakini huyo mnyama akachukuliwa mateka, pamoja na nabii wa uongo aliyekuwa akifanya miujiza mbele yake. (kwa miujiza hiyo, alikuwa amewapotosha wale waliokuwa na chapa ya huyo mnyama, na ambao walikuwa wameiabudu sanamu yake.) huyo mnyama pamoja na huyo nabii walitupwa wote wawili, wakiwa wazimawazima, ndani ya ziwa linalowaka moto wa kiberiti.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スペイン語

el 3 de marzo, el grupo boko haram mató a 19 civiles en un ataque contra dos pueblos, kiu keleha y toubu buka, situados a orillas del lago chad, en níger.

スワヒリ語

mapema machi 3, boko haram waliwaua raia 19 katika shambulizi lililotokea katika vijiji viwili vya, kiu keleha na toubu buka, vilivyopo pembezoni mwa ukanda wa mto chad uliopita nchini nigeria.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

人による翻訳を得て
7,776,343,472 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK