検索ワード: huenda (スワヒリ語 - アラビア語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

Arabic

情報

Swahili

huenda

Arabic

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

アラビア語

情報

スワヒリ語

huenda ukakihirishwa na jambo lakini likawa na kheri ndani yake

アラビア語

قد يتم تأجيلك بشيء ولكن سيكون هناك خير فيه

最終更新: 2023-04-13
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hujiangalia mwenyewe, kisha huenda zake, na mara husahau jinsi alivyo.

アラビア語

فانه نظر ذاته ومضى وللوقت نسي ما هو.

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

je, hamwelewi kwamba kila kinachoingia kinywani huenda tumboni na baadaye hutupwa nje chooni?

アラビア語

ألا تفهمون بعد ان كل ما يدخل الفم يمضي الى الجوف ويندفع الى المخرج.

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

huenda ni kwa mara ya kwanza kabisa, china haionekani kwenye orodha yetu ya makala 20 bora zaidi kwa mwaka huu.

アラビア語

ربما ولأول مرة على الإطلاق لا يتم إدراج الصين على قائمة أعلى 20 دولة لهذا العام.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

angalia mapitio ya kimaeneo kwa mwaka 2011 yaliyofanywa na wahariri na waandishi ili kupata taswira ya haraka ya kile ambacho huenda ulikikosa.

アラビア語

طالع نظرة محرري المناطق والكتاب العامة لعام 2011 ليتسنى لك معرفة المواضيع المهمة التي قد لا تكون استرعت انتباهك.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

huenda blogu yangu na ninayoyaandika mitandaoni yanaweza kuwafanya baadhi ya watu wakatafakari maneno yangu. huo ndio uzuri wa mtandao wa intaneti.

アラビア語

وقد تسهم مدوّنتي الالكترونية ووجودي الكثيف على الإنترنت في جمع بعض أفكار أشخاص من حول العالم سيتذكّروني.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

pia inafaa kutaja kwamba kuna uvumi kwenye twita kwamba huenda el qaradawi akajiuzulu nafasi yake, hiyo ni kwa mujibu wa mohammed:

アラビア語

ghafari@: اعتصام العاملين بإسلام اونلاين مستمر حتى الصباح لحين صدور قرار ضمانات العاملين بشكل رسمي islamonline#

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

wanaharakati wa masuala ya ukimwi na raia wengi wa afrika ya kusini wana matumaini makubwa kwamba hatua hii huenda ikaashiria mabadiliko ya sera za serikali kuhusu suala la vvu na ukimwi.

アラビア語

ويأمل الناشطون في مجال الإيدز والعديد من مواطني جنوب أفريقيا أن تكون هذه الحركة إشارة على التغيير في سياسات الحكومة المتعلقة بهذا المرض.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa maoni ya mwanahabari hilath rasheed, huenda nchi ya maldivi ikashindwa kuegamisha uhuru wa dini katika miaka 50 ijayo, hadi kubadilika kwa mawazo ya vizazi vipya vya wamaldivi.

アラビア語

لاحظ الصحفي هيلات رشيد أن جزر المالديف لن تكون قادرة على إقامة حرية العقيدة فى الـخمسين عامًا المقبلة حتى يتغير التفكير بين الأجيال الجديدة من الملديفيّين.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

vijana wa kituruki wana weledi kuhusiana na matumizi ya zana za kupata huduma hiyo ziitwazo tor na vpn, na watumiaji wa twita nchini uturuki walijipanga haraka sana kiasi ambacho huenda kilimchanganya kichwa ndugu erdogan.

アラビア語

الشباب التركي متطور في استخدام تور والشبكات الخاصة الافتراضية في حين تم إعادة تكوين فضاء توتير التركي بسرعة كبيرة. ربما جعلت أردوغان يشعر بالدوار.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

pengine ni jambo linalostahili kutajwa kwamba huenda mgomo huu ni wa kwanza wa aina yake unaotumia kwa ufanisi na vizuri zaidi njia za kisasa za upashanaji habari ili kuvuta usikivu na uungwaji mkono, kuanzia na twita inayoendelea mpaka mmiminiko wa habari wa hapo kwa hapo.

アラビア語

من الجدير بالذكر أن هذا الاعتصام هو الأول من نوعه من حيث استخدام الإعلام الجديد لبثه مباشرة عبر انترنت لجذب الدعم والاهتمام إليه عبر تواصل تحديثات تويتر وبث الفيديو المباشر.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kuna serikali zinazofikiri kupendekeza kupanua mamlaka ya itu ili isimamie utawala wa intaneti kwa njia ambazo pengine zitatishia uhuru na ubunifu katika kutumia intaneti, huenda hatua hiyo itaongeza gharama za kutumia huduma, na hata pengine kumomonyoa haki za watu za mtandaoni.

アラビア語

تقترح بعض الحكومات مد سلطة الاتحاد لإدارة الإنترنت بطرق قد تهدد انفتاح الإنترنت وتهدد الابتكار والإبداع، تزيد من نفقات الوصول للإنترنت، وتهدد حقوق الإنسان على الإنترنت.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

watu walio vyanzo vya habari na walio na uhakika wa kile wanachokieleza ambao wamo ndani ya taasisi hiyo wanasema kwamba lengo la uchunguzi dhidi ya wafanyakazi ni kuwaondoa mara moja na kuwanyika madai yao mbalimbali ya fedha waliyo nayo. kwa upande wake tadamon masr alieleza kwamba mgogoro huo huenda umetokana na lengo la uongozi mpya wa qatari kutaka kuhamisha makao makuu ya iol kutoka cairo kwenda doha.

アラビア語

تصاعدت الأوضاع بشدة اليوم الاثنين داخل مقر موقع إسلام أون لاين في القاهرة، بعدما قامت الإدارة القطرية للموقع في الدوحة بإرسال محامين لاستلام المقر بكل ما فيه من ممتلكات وأوراق، والتحقيق مع 250 عامل كانوا قد أرسلوا بيانا للشيخ يوسف القرضاوي رئيس مجلس إدارة الموقع يتظلمون فيه من تصرفات الإدارة الجديدة لمؤسسة البلاغ القطرية المالكة للموقع.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

basi, huenda na kuwachukua pepo wengine saba waovu zaidi kuliko yeye; wote huenda na kumwingia mtu yule. hivyo, basi hali ya mtu huyo sasa huwa mbaya zaidi kuliko pale mwanzo."

アラビア語

ثم يذهب ويأخذ سبعة ارواح أخر اشر منه فتدخل وتسكن هناك. فتصير اواخر ذلك الانسان اشر من اوائله

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

kwanza kabisa huwa hatuna aina hii ya ushindanishaji nchini misri mara kwa mara, pili huna budi kutambua kwamba jambo hili liliendeshwa kwenye blogu ya nchini misri, washiriki wanaweza kusemwa kwamba ilikuwa ni sampuli ndogo sana katika jamii ya wa-misri "zaidi ya washiriki 120 kwenye blogu yake na zaidi ya washiriki 300 kwenye tukio katika face book" na kwa hiyo baadhi ya watu huenda watasema kwamba sampuli haikuwa wakilishi vya kutosha, hata hivyo, kwa namna ya kushangaza kabisa, baadhi ya majibu yanawakilisha maoni ya wa-misri walio wengi.

アラビア語

كانت المفاجأة الحقيقة في اسم الشخصية العربية التالية والتي تظهر في القائمة أيضاً للمرة الأولى وتحتل المركز الثامن عشر بفارق بسيط عن الشيخ أحمد وتحصل على ثمانمائة وثلاثون ألف صوت بمتوسط 31 نقطة وهو جمال مبارك متقدماً على أسماء مثل بريتني سبيرز التي حلت في المركز الثلاثون وباراك أوباما في المركز السابع والثلاثون.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,793,415,587 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK