検索ワード: gereza (スワヒリ語 - イタリア語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

Italian

情報

Swahili

gereza

Italian

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

イタリア語

情報

スワヒリ語

gereza la lukyanivska ni taasisi ya kuweka watu kizuizini.

イタリア語

la luk'janivs'ka è un istituto di custodia cautelare.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

na tumeifanya jahannamu kuwa ni gereza kwa ajili ya makafiri.

イタリア語

abbiamo fatto dell'inferno una prigione per i miscredenti.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

tayari wapo katika kituo cha matunzo cha gereza hilo wakipata mlo.

イタリア語

attualmente si trovano nell'infermeria della prigione in attesa di cibo e cure.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ukraine: gereza la lukyanivska - "mahali watu wanapotendewa kama wanyama"

イタリア語

ucraina: luk'janivs'ka, la nuova bastiglia

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

alipelekwa kwenye gereza la adra jijini damascus, ambako amekuwa anashikiliwa, mpaka leo.

イタリア語

in seguito al processo è stato inviato alla prigione di adra a damasco, dove è stato trattenuto fino ad oggi.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ndugu wa waandamanaji wanawake waliokamatwa wakiwa wamekusanyika mbele ya gereza lililotaarifiwa kuwa ndiko walikokuwa wameshikiliwa.

イタリア語

parenti delle donne arrestate riunite davanti alla prigione in cui si pensava fossero detenute.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mwanablogu maarufu nchini misri alaa abd el fattah alimalizia siku yake ya 100 katika gereza bila ya kufunguliwa mashitaka leo.

イタリア語

il 5 marzo 2014 il celebre blogger egiziano alaa abd el fattah ha trascorso il suo centesimo giorno in prigione senza essere stato ancora processato.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hali ni hiyo hiyo kwenye gereza aliko reeyot alemu na wengine kama wubshet taye, bekele gerba, na kadhalika.

イタリア語

stessa cosa accade nella sezione di reeyot alemu e altri, come wubshet taye, bekele gerba, ecc.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

bassel alihamishwa kutoka gereza la adra kwenda kusikojulikana baada ya walinzi wasiojulikana wanahusiana na nani, walipokuja na kumtaka akusanye vitu vyake.

イタリア語

bassel è stato trasferito dalla prigione di adra verso una destinazione ignota, dopo che un agente di pattuglia - la cui affiliazione non è conosciuta - si è recato da lui ordinandogli di raccogliere le proprie cose.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hali katika baadhi ya vyumba vya gereza hilo ni mbaya mno ... za kutisha ... tafadhali usiitazame muda mfupi kabla ya kwenda kulala ...

イタリア語

le condizioni in alcune celle sono terrificanti.....infernali.....non guardatelo prima di andare a dormire....

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

jana, oktoba 25, wafungwa wanne wa gereza la mapuche waliamua kusitisha kususia kula mara baada ya mahakama kuu ya chile kukubaliana na baadhi ya matakwa yao.

イタリア語

ieri, 25 ottobre, i quattro prigionieri mapuche hanno deciso di abbandonare la loro protesta dopo che la corte suprema ha deciso di venire a patti con le loro richieste .

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

aliniambia kuwa, katika gereza la kality, mahali ambapo eskinder nega anaposhikiliwa, walinzi huwa wana utaratibu wa kuwahesabu wafungwa kwa kutumia filimbi za asubuhi.

イタリア語

mi aveva detto che nel carcere de kality, dove si trova rinchiuso eskinder nega, ogni mattina le guardie contano i carcerati utilizzando dei fischietti.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kuhusu blogu ya usov ukrainska pravda, mtumiaji facebook anayejiita lyubomyr drozdovskyy alijaribu kutoa ufafanuzi kuhusiana na ukatili unaoshtua wa maisha katika gereza la lukyanivska kama yalivyoonyeshwa kwenye filamu:

イタリア語

in ukrainska pravda lyubomyr drozdovskyy offre una propria interpretazione del motivo che si troverebbe dietro alle scioccanti crudeltà alla luk'janivs'ka:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

levko wa blogu ya the english-language foreign notes aliandika yafuatayo katika makala aliyopita jina la, "gereza la lukyaniv lililogeuka kuwa tundu la jehanamu":

イタリア語

levko, autore del blog in inglese foreign notes ne parla in un post dal titolo la luk'janivs'ka, un vero buco infernale:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

mwandishi shupavu wa habari za uchunguzi wa kutoka tvi konstyantyn usov hivi karibuni alifaulu kuingiza kwa siri simu kadhaa za mkononi kwenye gereza linalosifika kwa ukatili la lukyaniv, ambapo kuna kitengo cha uchunguzi maalumu, mahali ambapo alitiwa kizuizini, na ambapo bado anaendelea kushikiliwa.

イタリア語

il coraggioso konstjantin usov, giornalista investigativo di tvi è riuscito a introdurre diversi cellulari nella luk'janivs'ka, famoso istituto di detenzione dove è stata rinchiusa anche ], e dove si trova tuttora , ex ministro degli affari interni.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

katika majuma machache yaliyopita, gereza la torah liligeuka siyo tu kuwa makazi ya watoto wa mubarak, lakini pia limekuwa makazi ya nguzo (watu) wengi tu waliokuwa katika utawala wa mubarak.

イタリア語

ultimamente, la prigione di tora ha dato ospitalità non soltanto ai figli di mubarak, ma anche ad alcuni dei pilastri del regime.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

@fatma_mesned: kwa wale wanaoshinikiza kuachiwa huru kwa waandamanaji: kwa sasa tupo mbele ya gereza la al-malez, upande wa wanawake.

イタリア語

@fatma_mesned: per quelli che volessero chiedere dei manifestanti: noi siamo di fronte alla prigione di al-malez, settore femminile. aiutiamo chi ha aiutato i nostri prigionieri

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,747,241,874 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK