プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
na hakika nitawapoteza na nitawatia matamanio, na nitawaamrisha, basi watakata masikio ya wanyama, na nitawaamrisha, basi watabadili aliyo umba mwenyezi mungu.
li condurrò alla perdizione, li illuderò con vane speranze, darò loro ordini ed essi taglieranno gli orecchi degli armenti; io darò gli ordini e loro snatureranno la creazione di allah”.
"enyi wakaidi wakuu! mioyo na masikio yenu ni kama ya watu wa mataifa. ninyi ni kama baba zenu. siku zote mnampinga roho mtakatifu.
o gente testarda e pagana nel cuore e nelle orecchie, voi sempre opponete resistenza allo spirito santo; come i vostri padri, così anche voi
na hakika mimi kila nilipo waita ili upate kuwaghufiria, walijiziba masikio yao kwa vidole vyao, na wakajigubika nguo zao, na wakakamia, na wakatakabari vikubwa mno!
ogni volta che li chiamavo affinché tu li perdonassi, si turavano le orecchie con le dita e si avvolgevano nelle loro vesti, pervicaci e tronfi di superbia.
kama yasemavyo maandiko matakatifu: "mungu ameifanya mioyo yao kuwa mizito, na mpaka leo hii hawawezi kuona kwa macho yao wala kusikia kwa masikio yao."
come sta scritto: occhi per non vedere e orecchi per non sentire, fino al giorno d'oggi