検索ワード: kigaidi (スワヒリ語 - スペイン語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

Spanish

情報

Swahili

kigaidi

Spanish

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

スペイン語

情報

スワヒリ語

mashambulizi ya kigaidi.

スペイン語

ataques terroristas.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

shambulio la kigaidi laua watu watano mjini bamako

スペイン語

ataque con arma de fuego mató 5 personas mientras mali intenta consolidar la paz

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kenya: wito wa mshikamano baada ya mashambulizi ya kigaidi

スペイン語

kenia: llamado a la unidad en medio de ataques terroristas

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kikundi cha boko haram chaendeleza vitendo vya kigaidi nchini nigeria

スペイン語

el grupo yihadista boko haram y su mortífera campaña en nigeria

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

jud ni shirika linalotambuliwa na umoja wa mataifa na marekani kuwa ni la kigaidi.

スペイン語

jud es una org calificada como terrorista por la onu y ee. uu.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hata hivyo, wanaoendeleza vitendo hivi vya kigaidi hawaonekani kutilia maanani miitikio kama hii:

スペイン語

en tanto, los perpetradores de estos actos terroristas parecieran no tomar mucha atención a estas reacciones:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa bahati mbaya, hakukuwa na sherehe huko swati kwa sababu ya hatari ya shambulio la kigaidi.

スペイン語

desafortunadamente, no se llevó a cabo ninguna celebración en swat ante posibles amenazas terroristas .

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hatua ya kwanza ni kuyaita mashambulizi haya kwa vile yalivyo, na ndivyo yalivyo, mashambulizi ya kigaidi.

スペイン語

el primer paso es llamar a estos ataques por lo que son ataques terroristas

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

baada ya picha kamahizi zilipoanza kusambaa mtandaoni, ilikuwa wazi kwamba kilichokuwa kinaendelea westgate ni kitendo cha kigaidi:

スペイン語

luego de que imágenes como estas empezaron a circular, estaba quedando claro que se había perpetrado un acto de terrorismo en westgate:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

haitoshi kuzungumzia shambulio hili la kigaidi lililotokea katika chuo kikuu cha kenya kwenye mitandao ya kijamii, watu 147 ni wachache?!

スペイン語

muy poco se habla en los medios del ataque terrorista a la universidad en kenia, ¡¿147 muertos no son suficientes?!

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kamishna wa polisi wa nchi hiyo amekanusha tetesi kwamba mlipuko huo umetokana na shambulio la bomu linalohusishwa na kikundi cha kigaidi cha al-shabaab.

スペイン語

el comisionado de policía de kenia ha rechazado los rumores de ataques con bomba vinculados a al-shabaab.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ubalozi wa marekani ulienda mbali pale walipomuhusisha saeed na tuhuma za kujihusisha na mashambulizi ya mumbai na pia kuliita shirika lake jud kuwa ni shirika lililo na mrengo wa kigaidi.

スペイン語

la embajada de ee. uu. llego tan lejos como para nombrar a saeed sospechoso por su participación en los ataques a bombay y también nombrando a su organización, jud, como una organización "calificada como terrorista".

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

kujitokeza kwa jeshi la chadi uunganisha nguvu na majeshi ya camerron na naijeria kuonekana kuwa na maamuzi sasa, imeleta hali ya tahayaruki kwa kikundi hicho cha kigaidi cha boko haram.

スペイン語

la entrada en escena del ejército chadiano en apoyo a las fuerzas armadas camerunenses y nigerianas parece ser decisiva, dado el pánico que se apoderó de boko haram.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ilipotimu saa 5 usiku, rais uhuru kenyatta alilihutubia taifa na kuthibitisha kwamba kilichokuwa kinaendelea huko westgate, kilikuwa, kwa hakika, ni shambulio la kigaidi.

スペイン語

alrededor de las 11 p.m., el presidente uhuru kenyatta se dirigió a la nación y confirmó que lo que estaba ocurriendo en westgate era, sin duda, un ataque terrorista.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

daktari wa ki-peru ni mmoja wa wahanga waliopoteza maisha katika shambulio la kigaidi lilitokea kenya: wizara ya mambo ya kigeni imethibitisha kwamba juan jesús ortiz...

スペイン語

médico peruano entre los fallecidos por atentado terrorista en kenia: cancillería confirma que juan jesús ortiz... http://t.co/qdqi6vqbke — periodismo en línea (@periodismoperu) september 22, 2013

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wakati wa kufanya mijadala ya maana kidunia kuhusu mashambulizi ya kigaidi, uhuru wa kujieleza, kujali wengine na hofu ya uislamu sio pale majanga yanapotokea lakini kabla, tena yapaswa kuwa wakati vichwa vyetu vimetulia.

スペイン語

el momento para tener una discusión global sobre ataques terroristas, libre expresión, empatía e islamofobia no es cuando la tragedia golpea sino antes de que eso ocurra y cuando prevalece la razón.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

habari zilizochukua nafasi ya mbele kwenye vyombo vya habari vya kimataifa na vile vya ndani ya nchi kuhusiana na shambulio la kigaidi lililofanywa na wanamgambo wa al-shabaab kwenye chuo kikuu cha garissa, lililosababisha vifo vya watu 147, zimepata ukosoaji mkali.

スペイン語

la cobertura de los medios internacionales y locales del ataque en la universidad de garissa, donde murieron al menos 147 personas a manos de las milicias de al-shabaab, ha sido fuertemente criticada.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ali abdulemam, mwanablogu maarufu wa nchini bahraini na mwandishi wa kitengo cha utetezi cha global voices, amekamatwa mapema leo na mamlaka ya nchi ya bahraini kwa kile anachotuhumiwa nacho kwamba anasambaza "habari za uongo" kupitia mtandao wa bahrainonline.org, ambao ni moja ya mitandao maarufu zaidi nchini humo inayopigania kuwepo kwa demokrasi zaidi, huku kukiwa na harakati mbaya zaidi ya zote za serikali ya nchi hiyo za kuendeleza ubaguzi mbaya wa kiimani kwa miaka mingi sasa, pamoja na madai ya kuwepo kwa mtandao wa kigaidi unaowahusisha wanasiasa na wanaharakati wa haki za binadamu kadhaa.

スペイン語

ali abdulemam, un prominente blogger bahreiní y autor para global voices advocacy, fue detenido hoy por las autoridades de bahréin por supuesta difusión de "noticias falsas" en el portal bahrainonline.org, una de las centrales de noticias más populares a favor de la democracia de bahréin, en medio de la peor represión sectaria del gobierno en años.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,750,223,912 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK