検索ワード: kujitolea (スワヒリ語 - ドイツ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

German

情報

Swahili

kujitolea

German

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

ドイツ語

情報

スワヒリ語

na atakaye fanya wema kwa kujitolea, basi ni bora kwake.

ドイツ語

und wenn jemand freiwillig gutes tut, so ist es besser für ihn.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mtazamo huu haujapokelewa vizuri na mfanyakazi wa kujitolea wa vso aliyezaliwa uingereza ambaye anablogu katika blogu ya our man in cameroon.

ドイツ語

diese ansicht wurde von einem in großbritannien geborenen vso-volontär, der auf our man in cameroon bloggt, nicht wirklich geteilt.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

tunafurahi kwamba ataendelea si tu kama mchangiaji wa kujitolea, lakini pia atafanya kazi nasi kwenye shughuli maalumu na kutuwakilisha kwenye mikutano.

ドイツ語

wir freuen uns, dass sie nicht nur als freiwillige weiter zu unserer arbeit beitragen wird, sondern auch an sonderprojekten beteiligt sein wird und uns auf konferenzen vertritt.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

tulipoanzisha jukwaa la global voices' katika lugha ya kihabeshi mwaka 2012, yeye alifanya kazi ya kujitolea kama mtafsiri wa tovuti ile.

ドイツ語

als wir 2012 mit global voices auf amharisch begannen, unterstützte sie uns als ehrenamtliche Übersetzerin.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

akimudu vizuri kati ya kazi zake za kitaaluma na kufanya kazi za kujitolea, hisham ametumia miaka yake mingi kujibidisha kuboresha maisha na uhai wa jamii ya watu wa morocco akiwa kama mtetezi wa jumuia za kiraia na pia kama mtabibu.

ドイツ語

zwischen professionalität und leidenschaft hat hisham viele jahre damit verbracht, das leben und das wohlbefinden der marokkaner zu verbessern, als aktivist der zivilgesellschaft und als arzt.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mimi ni radhi kabisa kutumia nilicho nacho, na hata kujitolea mimi mwenyewe kabisa, kwa faida ya roho zenu. je, mtanipenda kidogo ati kwa kuwa mimi nawapenda ninyi mno?

ドイツ語

ich aber will sehr gern hingeben und hingegeben werden für eure seelen; wiewohl ich euch gar sehr liebe, und doch weniger geliebt werde.

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mwishoni mwa mwezi mei tulimuaga rasmi mhariri wetu mtendaji wa muda mrefu, solana larsen, na kumkaribisha rasmi kubadili majukumu yake kuwa, sasa, mchangiaji wetu mpya kabisa wa kujitolea, akiitwa solana larsen.

ドイツ語

ende mai mussten wir der redaktionsleiterin solana larsen , die ihr amt jahrelang inne hatte, lebewohl sagen und haben unsere jüngste freiwillige willkommen geheißen, die ebenfalls solana larsen heißt.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

changia vitabu ili kusaidia elimu ya watoto wa syria kupitia tovuti ya kujitolea: vitabu kwa ajili ya syria(books4syria) changia kupitia safeworld ili kuisaidia shule iliyoko katika kambi ya wakimbizi ya zaatari inayojulikana kama “kambi ya watoto” kwa kuwa takribani nusu ya wakazi ambao idadi yao ni 33,000, ni chini ya miaka 18.

ドイツ語

das geht über die seite: books4syria spende an safeworld um die schule im zaatari flüchtlingslager zu unterstützen, die als das "kinderlager" bekannt ist, weil dort fast die hälfte der 33.000 bewohner unter 18 jahre alt sind.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,791,824,345 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK