プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
yesu aliona jinsi wale walioalikwa walivyokuwa wanajichagulia nafasi za heshima, akawaambia mfano:
dicebat autem et ad invitatos parabolam intendens quomodo primos accubitus eligerent dicens ad illo
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
yesu alitazama kwa makini, akawaona matajiri walivyokuwa wanatia sadaka zao katika hazina ya hekalu,
respiciens autem vidit eos qui mittebant munera sua in gazofilacium divite
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
msiifanye mioyo yenu kuwa migumu kama wazee wenu walivyokuwa wakati walipomwasi mungu; kama walivyokuwa siku ile kule jangwani,
nolite obdurare corda vestra sicut in exacerbatione secundum diem temptationis in desert
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
wale wachungaji walirudi makwao huku wakimtukuza na kumsifu mungu kwa yote waliyokuwa wamesikia na kuona; yote yalikuwa kama walivyokuwa wameambiwa.
et reversi sunt pastores glorificantes et laudantes deum in omnibus quae audierant et viderant sicut dictum est ad illo
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
yesu alipoona jinsi walivyokuwa na imani kubwa, akamwambia huyo mtu, "rafiki, umesamehewa dhambi zako."
quorum fidem ut vidit dixit homo remittuntur tibi peccata tu
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています
jumuiya yote ya waumini ilikuwa moyo mmoja na roho moja. hakuna hata mmoja aliyekuwa na kitu chochote akakiweka kuwa mali yake binafsi, ila waligawana vyote walivyokuwa navyo.
multitudinis autem credentium erat cor et anima una nec quisquam eorum quae possidebant aliquid suum esse dicebat sed erant illis omnia communi
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
yesu alikuwa ameketi karibu na sanduku la hazina. akawa anatazama jinsi watu wengi walivyokuwa wakitoa fedha na kuzitia katika hazina ya hekalu. matajiri wengi walitoa fedha nyingi.
et sedens iesus contra gazofilacium aspiciebat quomodo turba iactaret aes in gazofilacium et multi divites iactabant mult
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
maandiko yasema hivi: "kama mkisikia sauti ya mungu leo, msiifanye mioyo yenu kuwa migumu kama wazee wenu walivyokuwa wakati walipomwasi mungu."
dum dicitur hodie si vocem eius audieritis nolite obdurare corda vestra quemadmodum in illa exacerbation
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています
wanaadamu wengine waliobaki ambao hawakuuawa na mabaa hayo, hawakugeuka na kuviacha vitu walivyokuwa wametengeneza kwa mikono yao wenyewe; bali wakaendelea kuabudu pepo, sanamu za dhahabu, fedha, shaba, mawe na miti, vitu ambavyo haviwezi kuona, kusikia wala kutembea.
et ceteri homines qui non sunt occisi in his plagis neque paenitentiam egerunt de operibus manuum suarum ut non adorarent daemonia et simulacra aurea et argentea et aerea et lapidea et lignea quae neque videre possunt neque audire neque ambular
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質: