検索ワード: aliwasili (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

aliwasili

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

aliwasili korea julai mosi, akaolewa na kuuawa tarehe 8.

英語

she arrived in korea on july 1, got married and found as a cold body on 8.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

waziri kiongozi wa sindh pia aliwasili kwenye eneo la tukio kukagua hali ya usalama.

英語

media is showing every single detail in real time ( live ).

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

katibu wa mambo ya nje wa marekani hillary clinton aliwasili nchini indonesia jumatano iliyopita.

英語

united states secretary of state hillary clinton arrived in indonesia last wednesday.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

aliwasili nchini brazili kama mtumwa, kifaa; kutoka katika ardhi yake alitoka kama mtu huru.

英語

in brazil he arrived as slave, object; from his land he departed as a free man.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

paltus_mk na kaka yake hatimaye waliokolewa na kupelekwa kwenye hospitali jirani na baadaye aliwasili mjini st. petersburg.

英語

paltus_mk and his brother were finally evacuated to a local hospital and he later arrived to st. petersburg.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

pia, mpatanishi wa amani lakhdar brahimi aliwasili syria leo kama sehemu ya mpango wake wa "kutafuta ufumbuzi" katika nchi.

英語

also, peace envoy lakhdar brahimi arrived in syria today as part of his mission to "broker a solution" in the country.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

waziri mkuu nawaz sharif aliwasili quetta asubuhi kushiriki mkutano wa vyama vya siasa uitwao "mkutano wa vyama vyote vya siasa ".

英語

prime minister nawaz sharif reached quetta in the morning to participate in the cross-party political meeting "all parties conference".

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

baada ya siku tano, kuhani mkuu anania aliwasili kaisarea pamoja na wazee kadhaa na wakili mmoja wa sheria aitwaye tertulo. walimwendea yule mkuu wa mkoa wakamweleza mashtaka yao juu ya paulo.

英語

and after five days ananias the high priest descended with the elders, and with a certain orator named tertullus, who informed the governor against paul.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

rais wa iran, mahmud ahmadinejad, aliwasili nchini venezuela siku ya jumapili, tarehe 8 januari, katika siku yake ya kwanza ya ziara itakayoendelea kwenye nchi za nicaragua, cuba na ecuador.

英語

iran's president, mahmud ahmadinejad, arrived in venezuela on sunday january 8, 2012, in his first stop in a tour that will continue to nicaragua, cuba and ecuador.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kiongozi wa serikali isiyo rasmi wa guinea, aliyetengwa na jumuiya ya kimataifa tangu kuuwawa na kubakwa kwa waandamanaji wa upinzani kulikofanywa na maaskari tarehe 28 septemba, alisafirishwa kwa ndege kwanda nchini morocco, ambako aliwasili katika majira ya saa 9 alasiri gmt.

英語

the leader of the de facto government of guinea, shunned by the international community since the september 28th killing and rape of opposition protesters by soldiers, was flown to morocco, where he arrived at around 3 p.m. gmt.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,747,849,959 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK