検索ワード: bulgaria (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

bulgaria

英語

bulgaria

最終更新: 2011-09-18
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

alfabeti hufurahisha na kuhuzunisha nchini bulgaria

英語

alphabets bring joy and sadness to bulgaria · global voices

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

bulgaria: gharama kubwa za nishati zasababisha maandamano

英語

high energy bills keep bulgarians protesting · global voices

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

bulgaria: pamoja na serikali kujiuzulu maandamano yapamba moto

英語

bulgarian government quits, but protests continue · global voices

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

mojawapo ya likizo safi na takatifu zaidi nchini bulgaria!

英語

one of the purest and most sacred holidays in bulgaria!

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

mwanablogu wa bulgaria, sabina panayotova alionesha kukosa tumaini kabisa kuhusiana na maandamano ya februari 17 :

英語

bulgarian blogger sabina panayotova expressed her pessimism about the feb. 17 protests :

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

bila mashaka yoyote, wana wajibu mkubwa wa kuiamsha bulgaria iliyolala na kuwafanya watu wa bulgaria wajiamini na kuibadilisha nchi yao.

英語

obviously, they have the potential to awake the sleeping bulgaria and to make bulgarians believe in themselves and change their country.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

blogu ya d-r beloliki ilipakia mkusanyiko wa picha za maandamano ya tarehe 17 februari yaliyofanyika karibu nchini kote bulgaria.

英語

d-r beloliki blog posted a collection of photos of the feb. 17 protests across bulgaria.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

mamia ya maelfu ya watu wanaandamana nchini kote bulgaria kupinga ukiritimba wa makampuni binafsi kuhusiana na huduma muhimu za jamii pamoja na hali ngumu ya kiuchumi!!!

英語

hundreds of thousands are out in the streets across #bulgaria protesting private monopolies of utilities and economic hardship!!!

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

huko sofia, baadhi ya kauli mbiu zilikuwa ni: "tuuchome moto ukiritimba!"; "watu wa bulgaria, amkeni!

英語

in sofia, the slogans included: "let's set the monopolies on fire!"; "balkans, wake up!

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

maandamano ya sofia yalienda sambamba na sherehe ya kutwazwa kwa neofit, askofu mkuu mpya mteule wa kanisa la orthodox la bulgaria; jiji lilizizima, hakukuwa na usafiri wa umma, isipokuwa kwa usafiri wa treni wa chini ya ardhi.

英語

the protest in sofia coincided with the enthronement ceremony for neofit, the newly-elected patriarch of the bulgarian orthodox church; the city was paralyzed, no public transport, except for the metro, was running.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

akibainisha kwa huzuni juu ya kuongezeka kwa matumizi ya miandiko ya kilatini nchini bulgaria, mwanablogu stranniche anaandika kuhusu siku ya utamaduni, elimu na alfabeti za kibulgeria, maadhimisho ya kitaifa kukumbuka watakatifu cyril na methodius, ambao wanakumbukwa kwa kuunda alfabeti kongwe za kislavoni ziitwazo -alfabeti za glagoliti.

英語

noting with sadness about the ever-increasing use of the latin script in bulgaria, blogger stranniche writes about the day of the bulgarian education, culture and alphabet, a national holiday commemorating saints cyril and methodius, to whom the creation of the oldest known slavic alphabet - the glagolitic alphabet - is attributed.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

人による翻訳を得て
8,042,439,736 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK