検索ワード: dhibiti faili ulizopakia kwenye wavuti (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

dhibiti faili ulizopakia kwenye wavuti

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

wavuti za video kwenye wavuti

英語

video webinars on the web

最終更新: 2022-11-23
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mazingira ya google ya usanidi kwenye wavuti

英語

google configuration settings on the web

最終更新: 2015-10-10
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

na wakati huu tamasha hilo litafanyika kwenye wavuti.

英語

well, this time it will take place offline.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwenye wavuti, tangazo hilo limepokelewa na watu wengi kwa kejeli.

英語

online, the proposal has been received with almost universal ridicule.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

sijashangazwa na vid kwenye wavuti wa taifa unaoonyesha wekundu wakigawa pesa.

英語

not surprised by vid on nation web showing reds handing out cash.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

akijadili hili kwenye wavuti ya tumfweko.com, tumbo tumbo anasema:

英語

discussing this on tumfweko.com, tumbo tumbo says:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

tulilitangaza tukio hilo kwenye wavuti, na wengine wengi – kama david – walijitokeza.

英語

we publicized the event on the web, and many others - like david - just showed up.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mjini new york, maktaba ya mji wa new york una mfululizo wa ramani kwenye wavuti unaoonyesha kambi ambazo walionusurika wanahamia.

英語

in new york city, the new york public library has a series of maps online showing camps where survivors are finding shelter.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ramani hiyo inaendelea kuwekwa habari mpya kadri habari zinavyopokewa kwa kupitia mtandao wa ushahidi, twita na fomu zilizo kwenye wavuti.

英語

the map is being updated as information is received via the ushahidi network, twitter and web form.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katika majuma yaliyofuata baada ya kongamano, baadhi ya washiriki walitumia ukurasa wa ushirika kwenye wavuti ili kuyaweka maadili ya jamii hii.

英語

in the weeks following the conference, a number of participants used a wiki to articulate this community's shared values.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

maoni yaliyotolewa na sun yat-sen, baba wa taifa la china katika filamu hiyo, inasemekana kuwa yamenukuliwa sana kwenye wavuti:

英語

the comment made by sun yat-sen, the father of the republic of china, in the movie has been quoted widely on the internet, it said:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

warsha hiyo – zaidi kidogo ya wasaa wa kushirikiana mawazo – iliitwa “sauti za dunia kwenye wavuti.”

英語

the workshop - little more than a structured brainstorming session - was called "global voices online."

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

katika mkutano wa 2004, mwanablogu wa kiirani hossein derakhshan alielezea matumaini kwamba kuenea kwa uanahabari wa kiraia kwenye wavuti kutazifanya jamii kuwa za kidemokrasi zaidi na kwa serikali kuapta ugumu zaidi katika kuhalalisha vita.

英語

at the 2004 meeting, iranian blogger hossein derakhshan expressed the hope that the spread of online citizen media would make societies more democratic and war more difficult for governments to justify.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

erk hersman wa ushahidi, alisema katika barua pepe kuwa mfumo wa usghahidi ulikuwa unashughulikia zaidi mawasiliano ya twita na ya kwenye wavuti katika siku za kwanza za tetemeko, kwani mitandao ya simu za mkononi ilikuwa haipatikani katika sehemu kubwa ya kusini mwa haiti.

英語

ushahidi's erik hersman, in an email message, said the system was processing mostly web and twitter communication in the first days after the quake, because cell networks were down in much of southern haiti.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kajsa analalamikia kutokuwepo kwa ghana kwenye wavuti ya mkutano wa umoja wa mataifa unaohusu mabadiliko ya hali ya hewa na kuuliza: “kweli, lini mara ya mwisho umesikia mtu akijadili mabadiliko ya hali ya hewa hapa?”

英語

kajsa laments the absence of ghana from a web site counting down to the un climate change summit and asks: "really, when was the last time you heard someone discuss climate change around here?"

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

hatua hiyo ya kupinga biashara ya pembe za ndofu ilizinduliwa na tamko la lucy lan skrine mwenye umri wa miaka 11 na christina seigrist mwenye miaka 8 kwenye wavuti ya avaaz.org katikati ya mwezi septemba likitoa mwito wa kuteketezwa kwa pembe za ndofu zilizokamatwa ili kutuma ujumbe mzito kwa wateja wa bidhaa hiyo nchini china kuwa shughuli hiyo haifai na ni kinyume cha maadili.

英語

the local anti-ivory action was launched with a petition by lucy lan skrine aged 11 and christina seigrist aged 8 at avaaz.org in mid september calling for the destruction of confiscated ivory in order to send a strong signal to chinese consumers that buying ivory is immoral and wrong.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kadhalika wengine wanaripoti juu ya matukio katika maeneo fulani fulani, huku wakiwa na matumaini ya kuwaondoa hofu ndugu na wapenzi walio nje ya nchi (mpaka hivi sasa, ni taarifa chache mno zilizokwishatolewa kwenye wavuti kuhusu waliofariki na waliojeruhiwa).

英語

still others are reporting on incidents in specific locations, in the hopes of assuaging the concerns of loved ones abroad (as of yet, very little information on those injured and dead has been released online).

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

washiriki walikubaliana kuanzisha ukurasa wa ushirika katika wavuti ili kushirikiana habari, pamoja na mazungumzo ya maandishi kwenye wavuti (internet relay chat (irc) kwa ajili ya mikutano mingine kwenye wavuti, pamoja na kikusanya blogu kitakachoendeshwa na washiriki wa kongamano pamoja na wengine kama wao ambao tulianza kuwaita “wanablogu kiungo.”

英語

participants agreed to set up a wiki to share information, an internet relay chat (irc) for further on-line meetings, and an aggregator of blogs by conference participants and others like them who we began to call "bridge bloggers."

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,794,226,016 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK