検索ワード: gusa tu ni pao (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

gusa tu ni pao

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

kwa hiyo utakuwa unapaka kwenye simu yako tu ni hayo tu.

英語

so will just be charting on phone that’s all

最終更新: 2022-04-05
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kinachohitajika tu ni kutwiti au kutangaza twiti za wengine!

英語

all it takes is a tweet or retweet!

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

suala lilikuwa tu ni kwa karibu-karibu kiasi gani.

英語

it was only a matter of how frequent.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

haisemi kwamba mtu hatatawala kwa sababu tu ni mgonjwa, kwa sababu kusema hivyo kusingetekelezeka. .

英語

it does not say that one must not rule if they are sick, for such a requirement would be impossible to meet by mere mortals.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kitu kimoja tu ni muhimu. maria amechagua kitu bora zaidi ambacho hakuna mtu atakayemnyag'anya."

英語

but one thing is needful: and mary hath chosen that good part, which shall not be taken away from her.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

@ibiriti: demokrasia haimaanishi tu ni mipangilio ya uchaguzi ili kubadili watu wasio na uwezo na kuwaweka wengine.

英語

@ibiriti: democracy is not just about regular elections replacing one incompetent lot with another. it has to deliver goods

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

jambo moja tu ni kwamba, unaweza kufikiria ni muda gani angetumia kama angalikimbia kwa uwezo wake wote tangu mwanzo mpaka mwisho wa shindano?!

英語

the only thing is, can you imagine what time he might have got if he ran his utmost best for the whole race?!

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

lengo lao tu ni kulinda jukwaa lao la uchaguzi, ambayo kwa mujibu wa carreras, ni "lengo kuu lililowaunganisha."

英語

their only purpose is to defend their electoral platform, which according to carreras, is "the only certain common goal that unites us".

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

hadi wakati huu, takribani mwaka mmoja akiwa gerezani, zola anakabiliwa na mashitaka ya kutengenezwa yanayomhusisha na ugaidi ati kwa kuwa tu ni mwanazuoni halisi atumiaye unyenyekevu wake katika ukosoaji.

英語

today, after over a year in prison, he is facing trumped-up terrorism charges for being a true intellectual, and one who uses humor to communicate his critiques.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

na mfano wa walio kufuru ni kama mfano wa anaye mpigia kelele asiye sikia ila wito na sauti tu -- ni viziwi, mabubu, vipofu, kwa hivyo hawaelewi.

英語

and the example of the disbelievers is similar to one who calls upon one that hears nothing except screaming and yelling; deaf, dumb, blind – so they do not have sense.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

siku chache kabla ya uchaguzi nchini kenya mwaka 2007, tulikuwa na hali inayofanana na hiyo ambapo matokeo ya tafiti za kura za maoni ziliibua malumbano ya chuki, madai na pingamizi za madai kwamba matokeo yalikuwa yamechakachuliwa vilivyotegemea tu ni nani na ni chama gani kilipendelewa zaidi au kilipuuzwa katika kura za maoni.

英語

in the run-up to the kenyan elections in 2007, we had a similar scenario where opinion polls became the centre of vicious debates, claims and counter claims of doctored results depending on who or which party was favored or dismissed by the polls.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ndio kusema, kilichoamuliwa na mahakama (au, angalau, hiyo ni tafsiri yangu tu) ni kwamba kinachofanya kitabu kiwe zao la utamaduni, na hivyo kustahili kupata punguzo la kodi (na hiyo maana yake ni punguzo la bei kwa wateja), ni karatasi linalotumiwa kuchapishia kitabu hicho.

英語

that is to say, what this court has ruled (or, at least, that's my interpretation) is that what makes a book a cultural product, thus deserving reduced tax (and a lower cost to its consumers), is the paper on which is printed.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

関係性の低い人による翻訳は非表示になります。
関係性の低い結果を表示します。

人による翻訳を得て
7,728,911,176 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK