検索ワード: kibali (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

kibali

英語

mera stetes dekho

最終更新: 2021-04-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

fomu ya kibali

英語

clearance form

最終更新: 2021-07-04
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

picha na mikemurga kwa kibali cha cc.

英語

photo by mikemurga and used under a cc license.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

shujaa wetu apata kibali cha nec ili kugombea:

英語

our hero is cleared by nec to contest:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

picha imetumiwa kwa kibali kutoka tovuti ya ukzambians.

英語

photo used with permission from ukzambians website.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

biashara zinahitaji kibali cha serikali ya mitaa ili kufungua tena

英語

businesses need local government permission to re-open

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kuwataka wajenzi kufikisha kibali ofisi ya serikali ya kata ya ilomba

英語

最終更新: 2020-11-16
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

maana wazee wa kale walipata kibali cha mungu kwa sababu ya imani yao.

英語

for by it the elders obtained a good report.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kibali ya jumla cha usimamizi wa hali ya hatari imegawanyika kufuatia ufuasi wa vyama.

英語

overall approval of trump's management of the crisis has been polarized along partisan lines.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

baada ya hapo ukafuata mfumuko wa kwanza wa risasi kutoka kwa polisi ambao walipewa kibali kupitia redio.

英語

after that came the first gust of bullets form the federal police, who were authorized to proceed via radio.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kuzunguka mzunguko wa mzunguko hali ya uraia wa uraia wa kiraia ustaarabu wa madai ufafanuzi kufafanua mgongano classic classical uainishaji kuainisha kibali

英語

circulate circulation circumference circumstance citizen citizenship civil civilization civilize claim clarification clarify clash classic classical classification classify clearance

最終更新: 2024-04-14
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

jitahidi kupata kibali kamili mbele ya mungu kama mfanyakazi ambaye haoni haya juu ya kazi yake, na ambaye hufundisha sawa ule ujumbe wa kweli.

英語

study to shew thyself approved unto god, a workman that needeth not to be ashamed, rightly dividing the word of truth.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kibali cha kutumia hekta 30,000 za ardhi kwa kampuni ya mazao nishati (biofuels) procana, kimebatilishwa.

英語

a 30,000ha land concession to biofuels firm procana in the district of massingir had been revoked.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

@rosejackson3: kwa hiyo ni kinyume cha sheria kutembea kwenda kazini #walk2work nchini u/g bila ya kibali.

英語

@rosejackson3: so illegal to #walk2work in ug w/o permit.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

akitangaza tunu hiyo ya hali ya uhamiaji wa renard — utakaomfanya asiwe na haja ya kuomba upya kibali cha ukaazi — waziri wa michezo chishimba kambwili slisema:

英語

announcing the granting of renard's new immigration status - so that he does not have to renew his work permit - sports minister chishimba kambwili said:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa sababu ya karantini fanifu ya usafiri wa umma wuhan na hubei, nchi kadhaa zimepanga kuhamisha raia wao na wafanyakazi wa balozi zao kutoka eneo hilo, kimsingi kutumia ndege zilizokodiwa za nchi husika, na mamlaka ya uchina wakitoa kibali.

英語

owing to the effective quarantine of public transport in wuhan and hubei, several countries have planned to evacuate their citizens and diplomatic staff from the area, primarily through chartered flights of the home nation, with chinese authorities providing clearance.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

baada ya kumwondoa saulo, mungu alimteua daudi kuwa mfalme wao. mungu alionyesha kibali chake kwake akisema: nimemwona daudi mtoto wa yese; ni mtu anayepatana na moyo wangu; mtu ambaye atatimiza yale yote ninayotaka kuyatenda.

英語

and when he had removed him, he raised up unto them david to be their king; to whom also he gave testimony, and said, i have found david the son of jesse, a man after mine own heart, which shall fulfil all my will.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,782,502,067 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK